Nafasi za Ajira Jeshi la Magereza 2023

Nafasi za Ajira Jeshi la Magereza 2023

MT mpqka leo hawajanipigia simu....ni ndoige asee maana nasikia mikoa mingine washaitwa muda
 
Mkuu samahani Kuna jambo ningeomba tujadili private kidogo. Namba yangu hii 0627711310
Ungeenda PM then ndio utoe namba yako kwake hapa ni hatari kiongozi.....kumbuka twajua kuwa huna ajira na watafuta ajira tena za majeshi, miongoni mwa ajira zinazomuweka mtu hatarini kutapeliwa....

Usishangae unatafutwa na namba ngeni waambiwa toa 3M CCP moja kwa moja ukaibiwa buree!

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
As

Asantee kwa ushauri wako mzuriii Ndugu 🙏🙏🙏🙏
 
Mkuu wa Wilaya ya Ludewa umeliharibu hilo zoezi la usahili ulililisimamia leo!

Kwa kujua au kutokujua kwa sababu ya ugeni wako kwenye kiti,kwanza waombaji wamepigiwa Simu kwa ajili ya usaili tangu Jana wametumia gharama kubwa sana,Maana yake mpaka wanapigiwa Simu mlijua wana sifa,wamefanya mitihani na mkawaita kwenye oral Interview maana walikuwa wanasifa,na wale wote waliokuwa hawana sifa mliwaambia!!

Baada ya oral,ndio mkaja na sababu kuwa div two na three hawatakiwi Kabisa kwenye interview,swali langu Kama mlikuwa hamuwahitaji kwani mliwapigia Simu waje kwenye usahili?,vile vile baada ya usahili tena mkaja mkasema tena wale waliopitia JKT kwa mujibu hawakutakiwa,kwani nini tena Kama mlikuwa mnajua kwa wale wote waliopitia JKT mujibu walikuwa hawatakiwi kwani nini mliwapigia Simu?

Pia,hata hao wenye div.three waliopitia JKT kwa kujitolea mbona mmewaacha na mmechukua wote div four?,Kigezo gani mmetumia?.

Lengo la Serikali la kumpeleka nafasi hizo ngazi ya wilaya,ni kujaribu kuleta mgawanyo wa angalau makabila yote yaani wazawa wa Wilaya husika watoto wao wapate nafasi angalau za ajira!!

Mkuu wa Wilaya ya Ludewa,kwa taarifa yako hao wote 7 mliowapitisha Leo kwa ajili ya kujiunga na Jeshi la Magereza,wazawa kutoka Wilaya ya Ludewa ni wawili tu (2),hao wengine watano (5) wazazi wao ndio hao uliokuwa nao kwenye huo usahili!!,fanya utafiti na chukua hatua!!
 
Jkt hawatakiwi Tena???
 
Mkuu umeongea kwa hisia sana, hv ni mkoq gani huo, maana me nilijaribu kuqndika ila sijapigiwa simu mpaka leo...labda kwa sababu ya kuvuka umri wao pengine
 
Kumbe hizi ndio tarehe zao. Basi sawa, huu uzi uwe AJIRA ZA MAGEREZA SPECIAL THREAD

Kila la heri wadau wenye sifa. Zingatia - FUATA MAELEKEZO WAKATI UNAOMBA HIZI AJIRA USIJE LALAMIKA MAMBO YA UPENDELEO​
 
Attachments

Habarini,nimejaribu kutuma maombi ya hizi ajira za magereza,leo nimepokea simu ya kuhitajika kwenye gerezA nililotuma maombi,je hii ni kawaida,wataalam mnijuze.
 
Back
Top Bottom