Nafasi za Ajira Jeshi la Magereza 2023

Nafasi za Ajira Jeshi la Magereza 2023

Azizi Walter

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2015
Posts
221
Reaction score
139
Kila la kheri kwenu wenye sifa stahiki
Screenshot_2023_0107_112426.jpg
Screenshot_2023_0107_112505.jpg
 
Process za kujitolea zipoje mkuu ichi cheti kimekua muhimu nowadays
Hutangazwa sifa stahiki pia kwa wanaoenda kwa kujitolea hivyo kama unavigoze basi utafuata taratibu zitakazotangazwa kwa wakati husika na ukifanikiwa utaenda kujitolea ili upate cheti
 
Tar 5 Feb ndio mwisho wa kutuma maombi, jitahidini kwa wenye sifa, msiamini kwenye kuhonga wala mpaka uwe na mkubwa sijui, tuma maombi kisha omba Mungu wako alafu subiri, kuweni na imani kuwa inawezekana bila hata ya kua na connection.
Kutuma ,maombi ya issue gani ,chief ?
 
Back
Top Bottom