methodinho
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 489
- 549
Nipo mkuu nataka sema kigezo cha umri kimenitupa....natafuta mbanga mkuuMwaka huu watu hawataki Magereza au??
Nipo mkuu nataka sema kigezo cha umri kimenitupa....natafuta mbanga mkuuMwaka huu watu hawataki Magereza au??
Mungu ni mwema mkuu mapambano yanaendelea...vp ulituma maombi MTNi poa kabisa
Kwema mkuu??Kujiunga na Jeshi la Magereza angalia juu kabisa ya uzi kuna attachment za tangazo husika
Kwema kabisaKwema mkuu??
Hapana mzeeMungu ni mwema mkuu mapambano yanaendelea...vp ulituma maombi MT
Kwann mkuu au hupendelei kabisaHapana mzee
Daaah pole sana mkuuHapa Tanga kma kuna mtu ana connection ya kampuni yoyote ya ulinzi anipatie nikapige kazi,Huku nilipofikia ni pabaya Jana nimeshinda njaa,tupeane connection za kazi zingine pia
Ngoja waje wenyeji wa huko....lkn mara nyingi kwenye hz mambo za ulinzi kaka huwaga hawana mambo mengi ni kama hvyo umepitia jkt, kazi chapu labda kuwe na mambo mengineMtaani kugumu kukosa ni suala la kawaida Sana, mwenye mchongo anipe wakuu
Jakata lipoNgoja waje wenyeji wa huko....lkn mara nyingi kwenye hz mambo za ulinzi kaka huwaga hawana mambo mengi ni kama hvyo umepitia jkt, kazi chapu labda kuwe na mambo mengine
Kama lipo kaka nasikia haina longo longo unapiga mzigo fresh na ukitaka kuacha hawana nomaJakata lipo
Sijajua kwann umeipoint Tanga tu pengine una sababu zako za msingi kabisa ila kwamimi naona ungejaribu na nje ya Tanga piaJakata lipo
Dah mimi kwa sasa nawasogezea tu vijana wenzangu wapambanie kombe piaKwann mkuu au hupendelei kabisa
Aaah au ushakula mzigo tyrDah mimi kwa sasa nawasogezea tu vijana wenzangu wapambanie kombe pia
Hii sio lonja ni kihoja, hao wadau hata wenyewe hawajui mambo yao wao ndio definition ya usiri, ni watu hatari mno.Eti vipi jamani Lonja za usalama wa taifa nasikia wapo mbioni wataanza beba soon tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii sio lonja ni kihoja, hao wadau hata wenyewe hawajui mambo yao wao ndio definition ya usiri, ni watu hatari mno.