..african politics!
Hakuna jipya
jipya lipo kama wananchi mkipenda,lakini roho za kukata tamaa na fikra mbovu za waafrika zimetufikisha hapa,unasema hamna jipya lkn ww mwenyewe hauko tayar kuleta jipya ndo maana unang'ang'ania misemo budu yenye kulibomoa kifikra bara la africa,jipange bado mda hupo.