FRJ255
Member
- Oct 11, 2024
- 22
- 21
Kwa Wadau wa usafirishaji na madereva. Mimi naomba kutembea na mtu kwenye gari hasa magari makubwa ili nipate uzoefu barabarani Nina lessen daraja D. Naishi Kiluvya-Pwani.
Nipo tayari kujituma na kufanya kazi atakazo nipa. Mawasiliano yangu
Email. farajanh53@gmail.com
Nipo tayari kujituma na kufanya kazi atakazo nipa. Mawasiliano yangu
Email. farajanh53@gmail.com