Nafasi ya kazi

Nafasi ya kazi

rajoh

Senior Member
Joined
Jun 2, 2011
Posts
174
Reaction score
142
Natafuta msichana wa umri kati ya 20-35yrs ambaye Yuko vizuri sana kingereza na kihindi kwa ajili ya customer care. Anatakiwa awe ni understanding one na mwenye reasoning nzuri. Elimu angalau form four, Uzoefu si lazima sana kwani kazi atafundishwa.

Yeyote aliye interested anicheck kwa email: otmgar@gmail.com
 
Ww unajua kihindi??tuanzie happa kwanza
 
Wabongo waoga.
Ningekuwa sina ajira na ni mwanamke ningejitokeza.
Siku hizi lugha waweza jifunza hata chumbani kwako.
Unadownload dictionary za kawaida na za audio n.k unapata angalau basic.
Mm nimejifunza Kifaransa kwa simu ya TECNO nasasa najua angalau basics.
Nilikuwa na marafiki fb 2 hawajui Kiswahili wala kiingereza ila wanapenda kuchati na mimi. Wakati mmoja kanitext sms wala sikujua maana yake na sikujua ni lugha gani ile. Lile neno nikaliingiza google wakaniambia linatumika kwa lugha kadhaa ikiweno na kifaransa na ndipo nikaanza jifunza. Within a week nikawa fit.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom