Nafasi ya kazi kwa mafundi ujenzi Moshi wanahitajika

lwampel

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
249
55
Kama kuna fundi yeyote mzoefu wa kujenga aliepo maeneo ya Moshi mjini au jirani tuwasiliane nimpe kazi.. Site ni nje kidogo ya Moshi.
Kwa maelezo zaidi piga
0718 964 795. Ahsante.
 
mi niko powa sana ,napiga na tiles,ungenipa iyo ishu niko morogoro tutakuja wawili ,sehemu ya kulala vp
 
mi niko powa sana ,napiga na tiles,ungenipa iyo ishu niko morogoro tutakuja wawili ,sehemu ya kulala vp
Samahani mkuu
Kwa sasa tunahitaji watu waliopo moshi na jirani na moshi kwanza ila wewe wa morogoro kama nafasi zitakua bado zipo tutakufikiria
 
Back
Top Bottom