Nafasi ya Gerson Paskali anaichukua.

Nafasi ya Gerson Paskali anaichukua.

Machame Juu

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2013
Posts
1,514
Reaction score
3,379
Piga ua zaragaza nafasi aliyoacha wazi Gerson Msigwa wa msemaji mukuu wa Serikali ni ya ndugu yetu mpendwa na mwanajamvi mwenzetu Pascal Mayalla.

Hakuna cha Kikeke ama Kitenge this time is for Pasco.

It's now or never. This time LAZIMA alambe teuzi na wote tufurahi.

Mungu amtangulie huyu ndugu yetu katika majukumu yake mapya yatakayoanza karibuni.
 
Tatizo la kaka mkubwa Pascal Mayalla yeye harogi.
Pasco alirogwa ili asipate akili ya kuroga kupata cheo!

Uswahilini kwetu huwa wanarogwa mabinti wazuri wapigwe mimba za kustukizwa ili kuua soko lake la kuolewa na watu wa maana na wa Kiume wanarogwa wawe mateja

Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
 
Piga ua zaragaza nafasi aliyoacha wazi Gerson Msigwa wa msemaji mukuu wa Serikali ni ya ndugu yetu mpendwa na mwanajamvi mwenzetu Pascal Mayalla.

Hakuna cha Kikeke ama Kitenge this time is for Pasco.

It's now or never. This time LAZIMA alambe teuzi na wote tufurahi.

Mungu amtangulie huyu ndugu yetu katika majukumu yake mapya yatakayoanza karibuni.
Asante kuniombea jambo la kheri. Wewe sio wa kwanza Rais Dr. Samia jaribu na kumtumia na Pascal Mayalla kwenye serikali yako ninahakika atafanya vizuri
P
 
Piga ua zaragaza nafasi aliyoacha wazi Gerson Msigwa wa msemaji mukuu wa Serikali ni ya ndugu yetu mpendwa na mwanajamvi mwenzetu Pascal Mayalla.

Hakuna cha Kikeke ama Kitenge this time is for Pasco.

It's now or never. This time LAZIMA alambe teuzi na wote tufurahi.

Mungu amtangulie huyu ndugu yetu katika majukumu yake mapya yatakayoanza karibuni.
You will be surprised...! Save this reply..!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Piga ua zaragaza nafasi aliyoacha wazi Gerson Msigwa wa msemaji mukuu wa Serikali ni ya ndugu yetu mpendwa na mwanajamvi mwenzetu Pascal Mayalla.

Hakuna cha Kikeke ama Kitenge this time is for Pasco.

It's now or never. This time LAZIMA alambe teuzi na wote tufurahi.

Mungu amtangulie huyu ndugu yetu katika majukumu yake mapya yatakayoanza karibuni.

Itakuwa vyema server ya jamii forums itapumzika.
 
Back
Top Bottom