faby
JF-Expert Member
- Feb 18, 2011
- 2,214
- 768
Hivi ni kwa nini Tz tumeng'ang'ania sana kuingiza mlima k/njaro kama moja ya maajabu 7 ya dunia wakati tuna vivutio vingi tu! Unajua Tz ni nchi ya kwanza duniani ambayo watoto wa darasa la 7 wanamaliza shule hawajui kusoma na kuandika lakini wanafaulu mtihani? kwa nini tusikitumie hiki kama moja maajabu ya kwanza ya dunia?