NendaHabari zenu ndugu zangu
Week iliyopita nilianza kuapply kazi sehemu tofauti tofauti Kwa kua hapa kazini nilipo hali si nzuri
Kwa bahati nikafanyiwa interview Kwa njia ya simu na mwajiri aliyepo dar es salaam maeneo ya mikocheni
Baada ya interview akaniambia nimefuzu hivyo niende siku ya jumanne kwaajili ya mahoniano ya ana Kwa ana
Sasa Mimi nimeingiwa na hofu je niende au nibaki Kwa kua sijui huko kama nitapata hiyo nafasi au la nikiangalia gharama ni kubwa sana kutoka Arusha mpaka dar
La pili nawaza utendaji wangu wa kazi kama utaridhisha Kwa kua ameniambia nitakua naongoza office nzima [emoji2][emoji2]
Nawaza nisije nikaharibu kazi ya watu
La tatu hatukuongea swala la mshahara mpaka nitakapofika Sasa isije mshahara ukawa kiduchu nifanyaje wananzengo
NB kampuni ni ya mzungu
Natanguliza shukrani zangu
Kama unamashaka acha baki hapo ulipo nipe hiyo konection maan mm nipo msasani dar hapa..Habari zenu ndugu zangu
Week iliyopita nilianza kuapply kazi sehemu tofauti tofauti Kwa kua hapa kazini nilipo hali si nzuri
Kwa bahati nikafanyiwa interview Kwa njia ya simu na mwajiri aliyepo dar es salaam maeneo ya mikocheni
Baada ya interview akaniambia nimefuzu hivyo niende siku ya jumanne kwaajili ya mahoniano ya ana Kwa ana
Sasa Mimi nimeingiwa na hofu je niende au nibaki Kwa kua sijui huko kama nitapata hiyo nafasi au la nikiangalia gharama ni kubwa sana kutoka Arusha mpaka dar
La pili nawaza utendaji wangu wa kazi kama utaridhisha Kwa kua ameniambia nitakua naongoza office nzima [emoji2][emoji2]
Nawaza nisije nikaharibu kazi ya watu
La tatu hatukuongea swala la mshahara mpaka nitakapofika Sasa isije mshahara ukawa kiduchu nifanyaje wananzengo
NB kampuni ni ya mzungu
Natanguliza shukrani zangu
Umesomea nnKama unamashaka acha baki hapo ulipo nipe hiyo konection maan mm nipo msasani dar hapa..
Social studies.Umesomea nn
Nenda weweHabari zenu ndugu zangu
Week iliyopita nilianza kuapply kazi sehemu tofauti tofauti Kwa kua hapa kazini nilipo hali si nzuri
Kwa bahati nikafanyiwa interview Kwa njia ya simu na mwajiri aliyepo dar es salaam maeneo ya mikocheni
Baada ya interview akaniambia nimefuzu hivyo niende siku ya jumanne kwaajili ya mahoniano ya ana Kwa ana
Sasa Mimi nimeingiwa na hofu je niende au nibaki Kwa kua sijui huko kama nitapata hiyo nafasi au la nikiangalia gharama ni kubwa sana kutoka Arusha mpaka dar
La pili nawaza utendaji wangu wa kazi kama utaridhisha Kwa kua ameniambia nitakua naongoza office nzima [emoji2][emoji2]
Nawaza nisije nikaharibu kazi ya watu
La tatu hatukuongea swala la mshahara mpaka nitakapofika Sasa isije mshahara ukawa kiduchu nifanyaje wananzengo
NB kampuni ni ya mzungu
Natanguliza shukrani zangu
Habari zenu ndugu zangu

Elimu ni degreeUna Elimu gani? Maana uwezo wako wa kupambanua mambo ni mdogo sana!!!!?
Kuamua, jua yafuatayo:
- Jina la kampuni.
- reputation ya kampuni.
- unaongea na mtu sahihi.
- ulichofaulu ni nini
- unaenda kufanya nini
😂😂 kwamba huuamini utendaji wako wa kazi?La pili nawaza utendaji wangu wa kazi kama utaridhisha Kwa kua ameniambia nitakua naongoza office nzima
Omba likizo ya dharura, usimwambie mtu hata mmoja ni nini kinakupeleka huko Arusha, nenda, ukiona kazi inaeleweka ndio utoe taarifa kuwa unaquit, na ndio uwaambie na watu wengineHabari zenu ndugu zangu
Week iliyopita nilianza kuapply kazi sehemu tofauti tofauti Kwa kua hapa kazini nilipo hali si nzuri
Kwa bahati nikafanyiwa interview Kwa njia ya simu na mwajiri aliyepo dar es salaam maeneo ya mikocheni
Baada ya interview akaniambia nimefuzu hivyo niende siku ya jumanne kwaajili ya mahoniano ya ana Kwa ana
Sasa Mimi nimeingiwa na hofu je niende au nibaki Kwa kua sijui huko kama nitapata hiyo nafasi au la nikiangalia gharama ni kubwa sana kutoka Arusha mpaka dar
La pili nawaza utendaji wangu wa kazi kama utaridhisha Kwa kua ameniambia nitakua naongoza office nzima [emoji2][emoji2]
Nawaza nisije nikaharibu kazi ya watu
La tatu hatukuongea swala la mshahara mpaka nitakapofika Sasa isije mshahara ukawa kiduchu nifanyaje wananzengo
NB kampuni ni ya mzungu
Natanguliza shukrani zangu
Lengo la ku apply lilikuwa ni nini?Habari zenu ndugu zangu

Sijawahi kuongoza office ndo maana nawaza na sijui aliangalia vigezo gani mpaka akataka nikaongoze office yake[emoji23][emoji23] kwamba huuamini utendaji wako wa kazi?
Kama we mwenyewe hujiamini sisi tukusaidie lipi?
Nauli ni elf 37, semi luxury. Full luxury elf 45. ila pia kuna gari za magazeti, na kuna zile coaster uwa ni bei nafuu nadhani.
Kwa mzungu panaweza pasiwe na ubabaifu. Angekuwa muhindi ndio ungejishauri sana
Mimi Niko Arusha ila kazi mpya iko Dar es salaam mikocheniOmba likizo ya dharura, usimwambie mtu hata mmoja ni nini kinakupeleka huko Arusha, nenda, ukiona kazi inaeleweka ndio utoe taarifa kuwa unaquit, na ndio uwaambie na watu wengine
Nipate kazi lakini kazi imekuja kubwa sana kuliko uwezo wanguLengo la ku apply lilikuwa ni nini?
Ulielewa nini kwenye kuongoza ofisi? Maybe yaweza kuwa part of… na sio ofisi nzima.Sijawahi kuongoza office ndo maana nawaza na sijui aliangalia vigezo gani mpaka akataka nikaongoze office yake
Kuna ile siti ya pale mbele jiran na ......sijui nlitaka kuandika nn bila kujua jinsia ya muhusika😂😂 kwamba huuamini utendaji wako wa kazi?