Nafasi mpya ya kazi

Nafasi mpya ya kazi

Kwa nini umewaza hivi?
Mbona kwa alivyoelezea sijaona red flag, na ni standard practise kabisa mara nyingi a final interview huwa inakukutanisha na the key decision maker wa organization kwa hiyo nafasi ambae ndo atasema sasa uajiriwe au laah baada ya interview nae.
Kwan wakat wanazungumza ulikuwepo?, ila mara nying huwa inaishia kuwa hiv (jamaa atajaribu kuomba kitu) hasa dada akiwa mrembo, yeye wenyewe hapo anawasiwasi, nafsi yake inamwambia 'usiende'
 
Habari zenu ndugu zangu
Week iliyopita nilianza kuapply kazi sehemu tofauti tofauti Kwa kua hapa kazini nilipo hali si nzuri
Kwa bahati nikafanyiwa interview Kwa njia ya simu na mwajiri aliyepo dar es salaam maeneo ya mikocheni
Baada ya interview akaniambia nimefuzu hivyo niende siku ya jumanne kwaajili ya mahoniano ya ana Kwa ana
Sasa Mimi nimeingiwa na hofu je niende au nibaki Kwa kua sijui huko kama nitapata hiyo nafasi au la nikiangalia gharama ni kubwa sana kutoka Arusha mpaka dar
La pili nawaza utendaji wangu wa kazi kama utaridhisha Kwa kua ameniambia nitakua naongoza office nzima
Nawaza nisije nikaharibu kazi ya watu
La tatu hatukuongea swala la mshahara mpaka nitakapofika Sasa isije mshahara ukawa kiduchu nifanyaje wananzengo

NB kampuni ni ya mzungu

Natanguliza shukrani zangu
Epuka wazungu pori lkn.

Jiridhishe ni mzungu kweli kabla hujanyanyua taco toka chuga
 
Back
Top Bottom