Nafasi mpya ya kazi

Nafasi mpya ya kazi

Habari zenu ndugu zangu
Week iliyopita nilianza kuapply kazi sehemu tofauti tofauti Kwa kua hapa kazini nilipo hali si nzuri
Kwa bahati nikafanyiwa interview Kwa njia ya simu na mwajiri aliyepo dar es salaam maeneo ya mikocheni
Baada ya interview akaniambia nimefuzu hivyo niende siku ya jumanne kwaajili ya mahoniano ya ana Kwa ana
Sasa Mimi nimeingiwa na hofu je niende au nibaki Kwa kua sijui huko kama nitapata hiyo nafasi au la nikiangalia gharama ni kubwa sana kutoka Arusha mpaka dar
La pili nawaza utendaji wangu wa kazi kama utaridhisha Kwa kua ameniambia nitakua naongoza office nzima
Nawaza nisije nikaharibu kazi ya watu
La tatu hatukuongea swala la mshahara mpaka nitakapofika Sasa isije mshahara ukawa kiduchu nifanyaje wananzengo

NB kampuni ni ya mzungu

Natanguliza shukrani zangu
Wow! Kumbe ni ww nliekufanyia interview karibu sana ulinielewa vbaya sio kwamba utaongoza staff wote apana we utakua team leader wa group husika kila group mtakua watu 10 mtakua mnazunguka mitaani kuwashawishi watu wajisajili azam pesa na mtalipwa kutokana na watu mliowasajili .......ama namna gani pale!
 
Elimu ni degree
Nilichofuzu ni oral interview
Nileongea nae ni mkurugenzi wa kampuni
Uzoefu wangu ni miaka miwili ndo maana Nina wasiwasi kama nitaweza kuongoza office nzima maana Mimi niliomba nafasi nyingine ya kawaida akaniambia nimtumie CV alipoiona ndo akanipigia akaanza kunifanyia interview akaniambia niende nikaangalie office ilivyo na tufanye physical interview tupangiane off days na pia tuongee mshahara
Now you are talking.
Then what are you waiting for?? Uchangiwe nauli ama tukutafutie gari ya gazeti?
 
Wow! Kumbe ni ww nliekufanyia interview karibu sana ulinielewa vbaya sio kwamba utaongoza staff wote apana we utakua team leader wa group husika kila group mtakua watu 10 mtakua mnazunguka mitaani kuwashawishi watu wajisajili azam pesa na mtalipwa kutokana na watu mliowasajili .......ama namna gani pale!
 
Kwa hiyo niende
Ila shost 😂
Utadhani upo under 18.

Katika maisha usiogope kufanya trial and errors ktk vitu positive.
Hapo ulipo sahivi kama wanatoa ruhusa, omba kisha uende huko kwa mzungu mkamilishe michakato. From there ndio utakuwa na majibu halisi ya ubaki ulipo, ama uende kwa mzungu.
 
Habari zenu ndugu zangu
Week iliyopita nilianza kuapply kazi sehemu tofauti tofauti Kwa kua hapa kazini nilipo hali si nzuri
Kwa bahati nikafanyiwa interview Kwa njia ya simu na mwajiri aliyepo dar es salaam maeneo ya mikocheni
Baada ya interview akaniambia nimefuzu hivyo niende siku ya jumanne kwaajili ya mahoniano ya ana Kwa ana
Sasa Mimi nimeingiwa na hofu je niende au nibaki Kwa kua sijui huko kama nitapata hiyo nafasi au la nikiangalia gharama ni kubwa sana kutoka Arusha mpaka dar
La pili nawaza utendaji wangu wa kazi kama utaridhisha Kwa kua ameniambia nitakua naongoza office nzima
Nawaza nisije nikaharibu kazi ya watu
La tatu hatukuongea swala la mshahara mpaka nitakapofika Sasa isije mshahara ukawa kiduchu nifanyaje wananzengo

NB kampuni ni ya mzungu

Natanguliza shukrani zangu
Hapo kazini kwako chukua sick leave. Jifanye ni mgonjwa, unaumwa then uchukue sick leave. Halafu, uende huko Dar ukawasikilize, hakikisha hiyo jumanne unapata majibu ya maswali yako yote hayo kuhusu mshahara, mazingira ya kazi ,etc. Kutoka hapo utaweza kufanya uamuzi.
Pia, mkataba wako wa sasa unasemaje kuhusu utaratibu wa wewe ukitaka kuvunja mkataba, whether within 24 hrs au through a notice ya muda fulani? Mikataba mingi inakua inaelezea vizuri kabisa nini kinatakiwa kifanyike.
 
Ila shost
Utadhani upo under 18.

Katika maisha usiogope kufanya trial and errors ktk vitu positive.
Hapo ulipo sahivi kama wanatoa ruhusa, omba kisha uende huko kwa mzungu mkamilishe michakato. From there ndio utakuwa na majibu halisi ya ubaki ulipo, ama uende kwa mzungu.
Sawaaaaa
 
Hapo kazini kwako chukua sick leave. Jifanye ni mgonjwa, unaumwa then uchukue sick leave. Halafu, uende huko Dar ukawasikilize, hakikisha hiyo jumanne unapata majibu ya maswali yako yote hayo kuhusu mshahara, mazingira ya kazi ,etc. Kutoka hapo utaweza kufanya uamuzi.
Pia, mkataba wako wa sasa unasemaje kuhusu utaratibu wa wewe ukitaka kuvunja mkataba, whether within 24 hrs au through a notice ya muda fulani? Mikataba mingi inakua inaelezea vizuri kabisa nini kinatakiwa kifanyike.
Sawa
 
Elimu ni degree
Nilichofuzu ni oral interview
Nileongea nae ni mkurugenzi wa kampuni
Uzoefu wangu ni miaka miwili ndo maana Nina wasiwasi kama nitaweza kuongoza office nzima maana Mimi niliomba nafasi nyingine ya kawaida akaniambia nimtumie CV alipoiona ndo akanipigia akaanza kunifanyia interview akaniambia niende nikaangalie office ilivyo na tufanye physical interview tupangiane off days na pia tuongee mshahara

Hakuna Mkurugenzi wa Kampuni serious atakufanyia oral interview, labda kama ni Mjomba wako.

Red flag, kanjanja hizo, kama unaenda, hakikisha auharibu kazi uliyonayo.

Kuna matapeli wengi sana kwenye sector ya ajira, shika sana ulichonacho, uache tamaa.
 
Sijakuelewa mkuu inamaana mkurugenzi hawezi kunifanyia interview? Kwa sababu gani
 
Hakuna Mkurugenzi wa Kampuni serious atakufanyia oral interview, labda kama ni Mjomba wako.

Red flag, kanjanja hizo, kama unaenda, hakikisha auharibu kazi uliyonayo.

Kuna matapeli wengi sana kwenye sector ya ajira, shika sana ulichonacho, uache tamaa.
Mkuu Mimi niliomba kazi kupitia LinkedIn nilifollow companies na pia nilikua naandika kwenye search engine CEO na hr managers majina yakawa yanakuja ya CEO tofauti tofauti na pia hr tofauti tofauti nikawa nawaomba nitumie CV waangalie kama nitapata kazi au waniweke kwenye database zao kazi zikitokea waniite ndo huyo mzungu akaniambia nimtumie CV yangu nikamtumia
Akapiga simu tukaongea vizuri akaniambia niende akanione physically pia tufanye interview nyingine ya panel inamaana hatokua pekeyake kwenye hiyo interview ya pili
 
Daaah being a girl child it's tricky, may be he wants you, may be he wants an employer, just be careful
Uzuri nimekutana nae LinkedIn Kwa hivyo Sina hofu information zake zote ninazo na namba ya simu nimengalia Kwa mpesa ni jina lake halisi
 
Back
Top Bottom