Nafasi JWTZ ..

Mjomba JKT panapo mwez wa 5 mwaka huu walitangaza nafasi kimyakimya wilayani. Lkini tangazo lilikuwepo ofisi za mkuu wa wilaya na sio serikari za mitaa au Kata kama zamani. So jeshini(JWTZ) hatuwezi kufanya hivyo kiongozi. Hivyo ni kudharirisha jeshi kiongozi
 
Lini sasa ndugu? Twataka kujua mchakato ukoje coz mambo yanakwenda kimya kimya sana na kunatetesi kuwa zoezi limeshafanyika tayari, hebu funguka jembe!

hakuna kilichofanyka so far na bado wanasubir order ya kuandikisha askar wapya, hyo nmeulza asubuh hii 4rm a trusted source
in short kutoka kwa afisa colonel wa MMJ ambae ni member wa officerz selection board, hyo ni sourc yangu kama una yako toa co unatema ulezi
 
majuzi mwezi Oktoba nilisikia maprofessional wanafanyiwa usaili, leo hii eti bado, siwaelewi elewi humu JF.
TOENI TAARIFA ZA UHAKIKA TAFADHALI.
 
majuzi mwezi Oktoba nilisikia maprofessional wanafanyiwa usaili, leo hii eti bado, siwaelewi elewi humu JF.
TOENI TAARIFA ZA UHAKIKA TAFADHALI.
lakini kwa mujibu wa hii gregorian calender tunayoijua sisi mwezi october si haujafika mkuu shida iko wapi?
 
Yan Askari Wa Miguu hawa vijana sijui tuwaambie nn waelewe. Wiki hii wamedanganyana wakakimbilia makao makuu na wengine kukimbilia kuapply kumbe hamna chochote. Matokeo yake wakubwa wanalalamika jinsi watu wanavyokurupuka kutuma CV. Tangazo litatoka, mtafanya application, wengi mtaitwa ila sasa kwenye mchujo ndio sisemi kitu hapo. Polisi si mmeona utaratibu jinsi ulivyokua. Na majina wote mmeyaona, basi huo ndio utaratibu. Kuweni na subira wakuu.
 
ndio hvyo mkuu, inabid wa2 wafahamu ki2 kimoja jeshini kama ilivyo desturi hupublicize call 4 application kwa vijana wote wenye vigezo na mpaka hatua hyo huhtaji refa maana application zote hupokelewa, sasa linapokuja suala la kushortlist watu ambayo ni kazi ya officerz selection board hapo mayb ndio uangalie unamjua nani,sasa m2 akikwambia ooh washaita cjui 2 weekz ago tena proffesionals kutoka uraiani na ww hujaona kwny media yyte kampime akili yake
 
Tena nyie mnaojifanya vimbelembele kupeleka Cv wakati hawajasema chochote ndio mnajidisqualify mapema jeshi halitaki wa2 desperate namna hyo wahanga wa ajira jeshi ni wito
 
Heshima mbele wana'JF naulizia vipi kuhusu nafasi za kujiunga jwtz &jkt kwa professionals. Kwa karibu mwaka mmoja sasa nimekuwa nikifuatilia humu JF na information zilionyesha kwamba wangetoa mwezi february.. And as time goes on, imekuwa kama danadana kwa takribani mwaka na miezi sasa. Hivyo mwenye valid info azitoe tunateseka huku mtaani. GOD BLESS YOU !

Mtoto wa Kaka yangu yupo JKT Mkoa fulani, akitoka huko ataenda Monduli kuchukua JIWE ... amekwenda Mwaka huu baada ya kumaliza chuo amesota sana kitaa....
 
Heshima mbele wana'JF naulizia vipi kuhusu nafasi za kujiunga jwtz &jkt kwa professionals. Kwa karibu mwaka mmoja sasa nimekuwa nikifuatilia humu JF na information zilionyesha kwamba wangetoa mwezi february.. And as time goes on, imekuwa kama danadana kwa takribani mwaka na miezi sasa. Hivyo mwenye valid info azitoe tunateseka huku mtaani. GOD BLESS YOU !

jeshi.jpg

utaweza mabo haya kijana...any way best wishes.zitatoka uda si mrefu maana malawi nao......mkaongeze nguvu
 
Tunajiamin tunawezaata ukiweka iyo picha bana tumeshaamua kujitolea ndan ya jesh letu la wananchi mana kama waliweza wazee wetu tutashndwaje bana sisi vijana wao
 
Tunajiamin tunawezaata ukiweka iyo picha bana tumeshaamua kujitolea ndan ya jesh letu la wananchi mana kama waliweza wazee wetu tutashndwaje bana sisi vijana wao

unajiamini utaweza au njaa ndio inakuaminisha kuwa utaweza??? Njaaa bana hakuna inachoshindwa.
 
Back
Top Bottom