Nafasi 3000 za JWTZ na waliopita JKT kwa Mujibu wa sheria.

Kama umepitia JKT utapewa nafasi hili mradi ukithi masharti. Umuri elimu. Utaifa. Utimamu kiafya. Usiwe na chana chochote kile
 
Ile miezi mitatu ya kuweka chenja nayo unajiita umepita JKT?

National Service Compulsory Program ilianzishwa kisiasa na ndio maana hata mtaala wa mujibu haufanani na wa kujitolea (except pilot intake ya 2013 ya wanafunzi 5000 ambao mujibu na wa kujitolea walichanganywa)

Hivyo basi,wanapozungumzia vijana waliopita JKT ,hawawazungumzii nyie maselule wa miezi mitatu
mkuu unanikumbusha mbali hilo neno maselule, punguza ukali wa maneno Just come down tunaelimishana tu kiongozi!
 
Wakuu Kama sijakosoa makambini kuna vijana si chini ya 15000, naona mnaogopa hizo nafasi 3000 ni chacheafu watu ni wengi.
Wizara ya mambo ya ndani iliomba kibali cha kuajiri Askari 6000 (Magereza, polisi, zimamoto, uhamiaji). Katika nafasi 6000, magereza wataajiri askari si zaidi ya 650.

Ndugu zangu ngoja niwatoe wasiwasi jwtz wakiajiri 3000 Katika 15000 waliopo makambini (japo wanaweza kuajiri zaidi ya hao), wizara ya mambo ya ndani 6000 watazigawa(magereza,uhamiaji,zimamoto na polisi). jumla watakuwa wameajiri askari 9000/15000 na watakuwa wamebaki askari 6000, hawa tutawagawa TISS, PCCB, TANAPA, SUMA JKT, MUGAMBO, na vyombo binafsi vya ulinzi (ULTIMATE SECURITY, KK SECURITY, n.k
 
Mkuu umenikumbusha mbali mafinga kwenye baridi Kali 841 kj. Meja mahiga, kitundu
Dah!mkuu baridi la Mafinga sii la kitoto mkuu,kuna siku tulikua coz maeneo ya ile milima ya Kiterewasi kule Kinyanambo C,ilikua usiku mvua inapiga alafu baridi kali,kwa mara ya kwanza nilichezea fimbo za mgongo huku tukiwa tumefungwa vitambaa usoni,kumbuka hapo unapigwa fimbo kutokea pande zote..yani tuliingia kwenye ambush tukatekwa kingese mno so adhabu ya viboko vya usiku wa manane vilituhusu huku tukiwa migongo wazi bcoz tulivuliwa kombati.
 
Dah Mkuu yani Kama najiona Mimi unavyosimulia. Nakumbuka kuna MP mmoja alitudanganya kirefu cha MP ni minya popote Dah! Huyu MP alikuwa nyoko anapiga fimbo had masikioni. Kuna siku alitupa ambush afu akatuchimba beat et Mimi nyumbani mama yangu analia kapandisha mashetani analalamika kwanini mpaka sasa hujaniletea kichwa cha kuruta. Dah! Mwanangu miksa kuogopa. Yani jeshini nouma
 
Sio jkt mujibu wa sheria ni wale jkt kujitolea ndo watazingatiwa we endelea kutuma applocation bank na FINCA
 
Dah Mkuu yani Kama najiona Mimi unavyosimulia. Nakumbuka kuna MP mmoja alitudanganya kirefu cha MP ni minya popote Dah! Huyu MP alikuwa nyoko anapiga fimbo had masikioni. Kuna siku alitupa ambush afu akatuchimba beat et Mimi nyumbani mama yangu analia kapandisha mashetani analalamika kwanini mpaka sasa hujaniletea kichwa cha kuruta. Dah! Mwanangu miksa kuogopa. Yani jeshini nouma
Dah!
Kuna mzee mmoja alikua sir Meja alikua Mzanaki,huyu jamaa alikua ni mtaalamu wa kuingiza kwenye ambush,nakumbuka nimeingia kwenye ambush mara mbili,ya kwanza nilisinzia ndani ya handaki baada ya yeye kunihakikishia kwamba tupo salama salmini,pale ndio nilikua naanza kozi so 'kisago' chake hakikua kikali sana,ya pili ndiyo hiyo ambayo alitwambia tumetekwa so tujikomboe na akatwambia kadkazini ndio kuko salama tunaweza tolokea upande huo,na mbaya zaidi alikua anatuingiza mtegoni mmoja mmoja,so ndani ya dk chache unapata kipigo cha ngumi ya kushtukiza na fahamu zikirudi unahikuta upo mikononi mwa adui na mko zaidi ya kumi...!
Namkumbuka demu mmoja hivi alikuaga Luteni but jina limenitoka,aliwahi nae kutaka kuniingiza kwenye ambush nikamwambia afande mimi nipo salama kabisa na eneo langu lote lipo salama,asbh nakutana na vijana wanalia kwa uchungu kutokana na fimbo za MP usiku!!
Kiukweli wanangu jeshi hapana aise!ni mateso matupu.
 
Dah!
Kuna mzee mmoja alikua sir Meja alikua Mzanaki,huyu jamaa alikua ni mtaalamu wa kuingiza kwenye ambush,nakumbuka nimeingia kwenye ambush mara mbili,ya kwanza nilisinzia ndani ya handaki baada ya yeye kunihakikishia kwamba tupo salama salmini,pale ndio nilikua naanza kozi so 'kisago' chake hakikua kikali sana,ya pili ndiyo hiyo ambayo alitwambia tumetekwa so tujikomboe na akatwambia kadkazini ndio kuko salama tunaweza tolokea upande huo,na mbaya zaidi alikua anatuingiza mtegoni mmoja mmoja,so ndani ya dk chache unapata kipigo cha ngumi ya kushtukiza na fahamu zikirudi unahikuta upo mikononi mwa adui na mko zaidi ya kumi...!
Namkumbuka demu mmoja hivi alikuaga Kuteni but jina limenitoka,aliwahi nae kutaka kuniingiza kwenye ambush nikamwambia afande mimi nipo salama kabisa na eneo langu lote lipo salama,asbh nakutana na vijana wanalia kwa uchungu kutokana na fimbo za MP usiku!!
Kiukweli wanangu jeshi hapana aise!ni mateso matupu.
Jeshini unatakiwa ufungue moyo kweli vinginevyo utatoroka. Kuna private mmoja alikuwa anakujaga kutuamshaga kwenye mahanga saa kumi za usiku huku anavuta sigara afu anasema ukisikia harufu ya sigara muamke, kisha huyo anaenda hanga lingine sasa akirudi kwa waliopo hangani anawafungia milango afu anaenda kuwaita wenzake aiseee hicho kilalu lalu chake utapakumbuka home, mnakunja ngumi kwenye kokoto masaa mawili huku unaimba mapuuza hayatikiwi jeshini. ukitoka hapo mgongo umeloa damu kwa fimbo. Nakumbuka hii ambush ilifanya watoto WA mama wengi kutoroka
 
Mkuu mkuu yani leo nimekumbuka mbali sana aise,msitini wangu upo home nimeuhifadhi kama kumbu kumbu na mabox mawili tupu ya zile biscut za jeshi,anyway siku hizi naona hawapati tabu sana kama zamani,enzi zile mnapiga six week ya hatari na ukiwekwa kwenye barabara ya lami ya Dar saa8 mchana ukaambiwa lala usingizi basi unasinzia poa tu na unajiona upo New Africa hotel kwa utamu wa usingizi...!
 
Nafasi bdo zkitangazwa huwa sio siri lakn jkt kuna op miaka 50 ya muungano,op kikwete,op magufuli hao wote ajira bado so vuta sbra tu
Sidhani kama kuna op iitwayo miaka 50 ya muungano... Labda kama ulimaanisha miaka 50 ya jkt
 
Kama hujapita JKT kwa kujitolea ni ngumu sana kupata hiyo nafasi, na asilimia kubwa ni wale walioingia OP muungano na OP Kikwete.
 
Dah!
Mkuu mkuu yani leo nimekumbuka mbali sana aise,msitini wangu upo home nimeuhifadhi kama kumbu kumbu na mabox mawili tupu ya zile biscut za jeshi,anyway siku hizi naona hawapati tabu sana kama zamani,enzi zile mnapiga six week ya hatari na ukiwekwa kwenye barabara ya lami ya Dar saa8 mchana ukaambiwa lala usingizi basi unasinzia poa tu na unajiona upo New Africa hotel kwa utamu wa usingizi...!
Nazikumbuka zile six week mkufunzi alituambia Leo siwapigishi kozi sana tulipitishwa lungemba afu tukarudi shule ya kawawa jkt mida ya alfajiri. Dah Huyu afande nilimuona mnaha sana yani vile kuona madent WA kawawa kwanini asitubadilikie miksa palikuwa na mdogo wake anasoma kawawa basi akataka aonekane ana cheo jeshini aisee tulipigwa nuha ya maana miksa maukoko ya ugali ule mfereji ulikauka kwa dakika tu
 
Wakuu Kama sijakosoa makambini kuna vijana si chini ya 15000, naona mnaogopa hizo nafasi 3000 ni chacheafu watu ni wengi.
Wizara ya mambo ya ndani iliomba kibali cha kuajiri Askari 6000 (Magereza, polisi, zimamoto, uhamiaji). Katika nafasi 6000, magereza wataajiri askari si zaidi ya 650.

Ndugu zangu ngoja niwatoe wasiwasi jwtz wakiajiri 3000 Katika 15000 waliopo makambini (japo wanaweza kuajiri zaidi ya hao), wizara ya mambo ya ndani 6000 watazigawa(magereza,uhamiaji,zimamoto na polisi). jumla watakuwa wameajiri askari 9000/15000 na watakuwa wamebaki askari 6000, hawa tutawagawa TISS, PCCB, TANAPA, SUMA JKT, MUGAMBO, na vyombo binafsi vya ulinzi (ULTIMATE SECURITY, KK SECURITY, n.k
kwahyo mwaka huu hakuna kujitolea kwenda jkt.
 
Back
Top Bottom