X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 9,679
- 12,248
Ila vipi kwenye mshahara watakuwa pamoja....hahahaha...aliye soma kasoma tuuNaomba unipe maana ya neno professional kwanza halafu nitakujibu kwa vielelezo, hapo ndipo tutajua nani ana professional inayompa ulaji mjini kati yako na yangu.
Halafu jeshi la wanachi mwenye six na degree wote wanasifa za kupiga kozi ya uafisa.
Fungua tovuti ya TPDF utaliona hili.Unaweza ukafika jeshi ukasota kwenye uaskari na degree yako kwa miaka mingi huku ukimgongea six leaver saluti kwa wingi.