Nafasi 3000 za JWTZ na waliopita JKT kwa Mujibu wa sheria.

Na pia wapo RAIA wengi ambao hawajapitia JKT lakini wana-uzalendo na nchi yao na wapo tayari kulitumikia kwa uweredi Jeshi la wananchi!
Sasa sijui hao nao wanafikiriwaje
Kwa Utaratibu wa sasa kupitia jkt ni lazima kama unataka kufanya kazi za majeshi. Chamsingi jitahidi kuomba nafasi za Jkt zikishatangazwa maana kazi za jeshi hazina shortcut .Huo ndio Ukweli tofauti na hapo Utajikuta umeingia mikononi mwa matapeli na hawatokuacha salama.
 
Nafasi za jkt zinatoka kwa upendeleo,
 
Iv zile za walimu ziliishia wap maana naona kimya ..hizi hadith za abunuwasi kbsa
 
Mtukufu amesema ametoa kibali cha kuajiri askari watakao kua ma juniors officers,hii inamaana kwamba wataajiri wale wa fm6 na kuendelea,sasa jee,huko makimbini wa fm 6 wanafanya nini mpaka sasa wakati wanatakiwa vyuoni soon?
Au sijaelewa comment yako mkuu?
Wakisema mtu aliyepita JKT wanamaanisha Yale mafunzo ya Kujitolea Mdogo wangu.
 
Vijana Ametangaza nafasi 3000 siyo lazima Zijazwe Leo Kwa Mda Uliobaki wanaweza Kuwaita Vijana JKT December wakamaliza May kama Makambini watakua hawafiki 3000 lakini Nina Uhakika Makambini kuna Vijana wengi sitegemei kama watachukua Raia.
hivi wanajeshi sio raia?!
 
Kuna vijana wa operation muungano, operation kikwete na hawa operation viwanda, kwa ujumla wanafika 13000 na kuendelea. Ila 3000 ni mwanzo mzuri
 
Mtukufu amesema ametoa kibali cha kuajiri askari watakao kua ma juniors officers,hii inamaana kwamba wataajiri wale wa fm6 na kuendelea,sasa jee,huko makimbini wa fm 6 wanafanya nini mpaka sasa wakati wanatakiwa vyuoni soon?
Au sijaelewa comment yako mkuu?
frm 6 mh, kati ya 10000- 30
 
Vijana wenzangu wa bongo sometimes nawahurumia sana. Uwezo wao wa kuchuja mambo ni mdogo. TPDF wana mfumo wao rasmi wa kuajiri ambao uko wazi.
Huchukua vijana waliomo makambini(JKT) na kuwapa mafunzo mafupi ya miezi mitatu au minne kisha kuwa askari. Na kwa maofisa mfumo uko wazi pia.
Hivi leo wahangaike kutafuta vijana mtaani ilhali wanaohitajika ni 3000 na waliomo makambini ni zaidi ya elfu tano.How!
Kuna intakes ngapi wamemaliza mafunzo mpaka sasa?
Nafasi kwaajili ya mujibu wa sheria zinatolewa wakimaliza kozi tu .
Sisi huku tunamaliza kozi 2013 kwa mujibu tulioomba kuendelea na TPDF walitupigia simu hasa waliosoma sayansi na hata maartists walipiga usaili. Waliotaka walikwenda kufanya usaili wengine walikuwa washamba wa chuo kikuu huku wakidanganyana tutakwenda tukimaliza degree.
Kama ulipita mujibu wa sheria na ukarudi nyumbani na kama hukusomea udaktari, uhandisi au urubani sahau kuhusu JWTZ labda itokee vita.
JKT ina watu wa kila kada wamemaliza kozi wanasubiri fursa na wengine mkataba wa miaka miwili washamaliza wameongezewa mkataba. Itakuwa ajabu leo wasake vijana mtaani kwa gharama kubwa huku makambini wako wengi. Alichotaja jana Magufuli ni idadi tu yaani kama kibali ambacho kila mwaka hutolewa na si kwamba kutaja hadharani ndio mfumo wa uandikishaji utabadilika.
 
Vijana Ametangaza nafasi 3000 siyo lazima Zijazwe Leo Kwa Mda Uliobaki wanaweza Kuwaita Vijana JKT December wakamaliza May kama Makambini watakua hawafiki 3000 lakini Nina Uhakika Makambini kuna Vijana wengi sitegemei kama watachukua Raia.
Ni kweli,na hao vijana walikuwa wakiisubiri KAULI YA JANA.
Kuna mmoh amefurah sana kuskia ile kauli
 
Vijana wenzangu wa bongo sometimes nawahurumia sana. Uwezo wao wa kuchuja mambo ni mdogo. TPDF wana mfumo wao rasmi wa kuajiri ambao uko wazi.
Huchukua vijana waliomo makambini(JKT) na kuwapa mafunzo mafupi ya miezi mitatu au minne kisha kuwa askari. Na kwa maofisa mfumo uko wazi pia.
Hivi leo wahangaike kutafuta vijana mtaani ilhali wanaohitajika ni 3000 na waliomo makambini ni zaidi ya elfu tano.How!
Kuna intakes ngapi wamemaliza mafunzo mpaka sasa?
Nafasi kwaajili ya mujibu wa sheria zinatolewa wakimaliza kozi tu .
Sisi huku tunamaliza kozi 2013 kwa mujibu tulioomba kuendelea na TPDF walitupigia simu hasa waliosoma sayansi na hata maartists walipiga usaili. Waliotaka walikwenda kufanya usaili wengine walikuwa washamba wa chuo kikuu huku wakidanganyana tutakwenda tukimaliza degree.
Kama ulipita mujibu wa sheria na ukarudi nyumbani na kama hukusomea udaktari, uhandisi au urubani sahau kuhusu JWTZ labda itokee vita.
JKT ina watu wa kila kada wamemaliza kozi wanasubiri fursa na wengine mkataba wa miaka miwili washamaliza wameongezewa mkataba. Itakuwa ajabu leo wasake vijana mtaani kwa gharama kubwa huku makambini wako wengi. Alichotaja jana Magufuli ni idadi tu yaani kama kibali ambacho kila mwaka hutolewa na si kwamba kutaja hadharani ndio mfumo wa uandikishaji utabadilika.
Alisema anataka jeshi liwe na wataalam...unauhakika waliopo jkt saizi wanatosheleza idadi ya watu 3000 wenye professional?Na alisema kipaumbele kitakua kwa ambao wamepitia mafunzo ya jkt lakini hakusema kama kwa kujitolea au kwa mujibu wa sheria.Acha kupotosha watu.
 
Umewahi pitia JKT kwa mujibu wa sheria?Unaweza kuyatofautishaje mafunzo ya compulsory program na yale ya kujitolea?
 
Back
Top Bottom