Nafasi 3 za kazi Turiani hospital

kanali gadafi

Senior Member
May 5, 2017
139
146
Rejea mada tajwa hapo juu,
wanahitajika medical officer 2
Radiology technician 1



Karibuni sana ,

wenye uhitaji
tuwasiliane kw namba
0715 085702
 
Huwa na papenda sana hapo sema, sijawahi bahatika kusikia kisikia vitengo vyetu vikitangazwa.
 
Malipo ni kiasi gani mkuu... huduma kama malazi vipi...!? kuna madogo wana kazi hivyo kama maisha huko yana nafuu zaidi waweze kuja...!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom