Nafasi 3 za kazi Turiani hospital

Nafasi 3 za kazi Turiani hospital

kanali gadafi

Senior Member
Joined
May 5, 2017
Posts
139
Reaction score
148
Rejea mada tajwa hapo juu,
wanahitajika medical officer 2
Radiology technician 1



Karibuni sana ,

wenye uhitaji
tuwasiliane kw namba
0715 085702
 
Huwa na papenda sana hapo sema, sijawahi bahatika kusikia kisikia vitengo vyetu vikitangazwa.
 
Yupo dogo clinical officer, ikitokea chance usisite kunicheck
 
Malipo ni kiasi gani mkuu... huduma kama malazi vipi...!? kuna madogo wana kazi hivyo kama maisha huko yana nafuu zaidi waweze kuja...!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom