Wadau,
Tunawatangizia kuwa tutakuwa na mafunzo ya siku 4 yanayohusu sheria za kazi na utatuzi wa migogoro kazini - Conflict Resolution & Employment and Labour Relation Act
Mafunzo haya ni bure kwa maana ya ada ya kufundishia ila kila mshiriki atalipia gharama ya vyeti, stationery, chakula na ukumbi ambayo ni Tsh. 200,000 kwa kila mshiriki.
Mafunzo yatafanyika kwa siku 4 kuanzia tar 2 hadi 5 April 2018.
Kumbuka nafasi zilizopo ni mbili tu
Kwa maelekezo zaidi piga
+255 652 290 684