Tanzania yashika namba 2 Afrika kwa raia wake kuwa na Ajira

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,114
49,840
Tanzania imetajwa kama Nchi ambayo Inatoa Ajira zaidi Kwa watu wake na kushika nafasi ya

  • Business Insider Africa presents 10 African countries with the highest employment rate.
  • Most countries have not yet returned to the levels of employment and hours worked seen at the end of 2019, before the outbreak of the COVID-19 health crisis.
  • The list is courtesy of the International Labour Organisation.

According to the United Nations, the world's population has hit a whopping 8 billion, and African nations, especially those in sub-Saharan Africa are major drivers of this unprecedented growth.

Outrightly, more people means more jobs are needed. But the challenge is that Africa's population is growing faster than jobs are being created. Well, this is not just an African problem.

According to the International Labour Organisation, the global outlook for labour markets deteriorated significantly during 2022. Emerging geopolitical tensions, the Ukraine conflict, an uneven recovery from the pandemic, and ongoing bottlenecks in supply chains have created the conditions for a stagflationary episode.

Most countries have not yet returned to the levels of employment and hours worked seen at the end of 2019, before the outbreak of the COVID-19 health crisis.

Per statistics derived from the agency, some African countries have made incredible strides in addressing employment challenges reflecting their determination to chart a course towards sustainable economic growth and social progress.

The agency says these statistics are essential for tracking progress towards various national and international policy goals.

According to the International Labour Organisation, below are 10 African countries with the highest employment rate.

RankCountryEmploment to population ratioLabour dependency ratio
1 Madagascar 84.1% 0.35
2 Tanzania 80.3% 1.20
3 Burundi 78.9% 1.34
4 Ethiopia 77.3% 1.14
5 Mozambique 75.4% 1.35
6 Liberia 73.8% 1.28
7 Niger 73.1% 1.68
8 Eritrea 72.5% 1.27
9 Kenya 70.3% 1.29
10 Angola 69.0% 1.63

Source: 10 African countries with the highest employment rate

============
My Take:

Mara nyingi Huwa nasema Tanznaia Ina maisha ya nafuu na afadhari sana kushinda Nchi nyingi za Afrika.

Ila Sasa ukiwasikia Machadema wanavyolaumu mitandaoni unaweza dhani Hali ni mbaya sana na kwingineko wanaishi maisha yenye Neema.

Vijana ogopeni matapeli wa Kisiasa watawatumia na hakuna kitu mtapata zaidi ya kuwafikisha wao kwenye ulaji zaidi maana ruzuku haziwayishi.

View: https://twitter.com/wizara_afyatz/status/1715271656308899928?t=iGKylPl0Z95IKPZOhhdBNQ&s=19

20231016_210250.jpg
 
Percent ngapi are employed ?
Ngapi ni Self Employed
Na katika Employment Serikali inatoa ngapi...

Na katika wote hao juu ni percent ngapi ujira wao unakidhi maisha yao ?

Mara nyingine huitaji kuambiwa kitu kuona kwamba mambo yapo sawa au yana-mapungufu makubwa....

Soma mada hapo Juu itajibu maswali Yako
 
Tanzania imetajwa kama Nchi ambayo Inatoa Ajira zaidi Kwa watu wake na kushika nafasi ya 2.

View: https://twitter.com/BusInsiderSSA/status/1714318733525618844?t=RZraX_jhwY7MvwmDwk4dng&s=19

My Take
Mara nyingi Huwa nasema Tanznaia Ina maisha ya nafuu na afadhari sana kushinda Nchi nyingi za Afrika.

Ila Sasa ukiwasikia Machadema wanavyolaumu mitandaoni unaweza dhani Hali ni mbaya sana na kwingineko wanaishi maisha yenye Neema.

Vijana ogopeni matapeli wa Kisiasa watawatumia na hakuna kitu mtapata zaidi ya kuwafikisha wao kwenye ulaji zaidi maana ruzuku haziwayishi.

anae wasikiliza chadema ni mtukanaji pekee. Yaani hao jamaa hakuna kitu wanaonaga kimemove on, mindset yao ni static mbaya sana...

sidhani hata kama wanaongezaga wanachama wapya, coz sifa ni Lazima ujue kutukana....
 
Usiamini report za CCM ... Tuliambiwa sisi ni donor country nchi zinatuomba msaada bado wakasema tutauza umeme..kumbuka takwimu zote sahivi zinatolewa na serikali na serikali inajua iweke nini iwafurahishe ila ukweli hali ni mbaya na kwamimi personally asilimia 80 ya graduate wenzangu kwenye class yetu hawana ajira na hao 20 waliobaki wanaajira za kipuuzi
 
Tanzania imetajwa kama Nchi ambayo Inatoa Ajira zaidi Kwa watu wake na kushika nafasi ya 2.

View: https://twitter.com/BusInsiderSSA/status/1714318733525618844?t=RZraX_jhwY7MvwmDwk4dng&s=19

My Take
Mara nyingi Huwa nasema Tanznaia Ina maisha ya nafuu na afadhari sana kushinda Nchi nyingi za Afrika.

Ila Sasa ukiwasikia Machadema wanavyolaumu mitandaoni unaweza dhani Hali ni mbaya sana na kwingineko wanaishi maisha yenye Neema.

Vijana ogopeni matapeli wa Kisiasa watawatumia na hakuna kitu mtapata zaidi ya kuwafikisha wao kwenye ulaji zaidi maana ruzuku haziwayishi.

Nilivyoona Burundi ya 3 naanza kuwa na mashaka na habari hii
 
anae wasikiliza chadema ni mtukanaji pekee. Yaani hao jamaa hakuna kitu wanaonaga kimemove on, mindset yao ni static mbaya sana...

sidhani hata kama wanaongezaga wanachama wapya, coz sifa ni Lazima ujue kutukana....
Inahitaji uwe mpumbavu ndio uwaelewe.

Juzi nimekutana na msafara wa Mbowe ametoka Ziwani huko Rukwa na Ma V8 Yao kote wanapita wamekuta kazi zinaendelea.

Lakini hao sasa ndio husema kama a Serikali isitumie V8 nk ,mbona wasipande Kirikuu kuonesha mfano? Tena wanapita kwenye Barabara z Vijijini ambazo Samia anazifungu lakini hao wapuuzi ndio Huwa wanasimama kwenye majukwaa wakidai ccm imeshindwa kuondoa umalaya then hapo hapo hawana Mpango mbadala wa kuondoa walichoshindwa ccm ,wanachowwz ni kusema Katiba Mpya.
 
Home boy angalia kwanza source ya taarifa yako.Can we trust this source and why should we?

Labda alitaka kusema unemployment rate.Anyway sawa yuko sahihi but so what? kuwa katika daraja hili inasaidia vipi vijana ambao wamegraduate toka 2015 bado hawaoni kesho iliyo nyepesi au hizi ranking ni kwa ajili tu ya prestige basi
 
Insider Africa ni credible source
 
Back
Top Bottom