Nafasi 2 za kuhudhuria (Short Course)

Nafasi 2 za kuhudhuria (Short Course)

bizplan

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2013
Posts
592
Reaction score
574
Wadau,

Tunawatangizia kuwa tutakuwa na mafunzo ya siku 4 yanayohusu sheria za kazi na utatuzi wa migogoro kazini - Conflict Resolution & Employment and Labour Relation Act

Mafunzo haya ni bure kwa maana ya ada ya kufundishia ila kila mshiriki atalipia gharama ya vyeti, stationery, chakula na ukumbi ambayo ni Tsh. 200,000 kwa kila mshiriki.

Mafunzo yatafanyika kwa siku 4 kuanzia tar 3 hadi 6 April 2018.

Kumbuka nafasi zilizopo ni mbili tu

Mafunzo yatafanyika mkoa wa Dar Es Salaam

Kwa maelekezo zaidi piga
+255 652 290 684
 
Watu bhn yaani anakwambia free of charge lakini cost analysis ni zaid ya fee hahahahahaha hapa umenikumbusha kitu yaani unakwenda dukani let say kununua kiatu unakuta leo kinauzwa 15000 wewe unaamua kuondoka na kusema hiki kiatu ni ghali Sana unakaa siku kadhaa unaona tangazo kubwa ya kuwa kuna discount ya 40% unaenda kwenye kiatu kile kile unakuta kinauzwa 45000 unaondoka Kwa furaha na kujisifia kuwa umepata discount kubwa na umenunua bei rahisi Sana [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Anyway keep on to promote your course
 
Nyie ni nani?
Mafunzo kila mtu anaweza kuyaendesha akiingia tu google na kupakua materials?
Taasisi/ofisi yenu inapower kiasi gani mpaka cheti chenu kiwe na power kazini au maishani mwangu?
Mliponiacha hoi ni pale mliposema only 2 chances.
 
Je nikija na chakula changu, stationeries zangu bei inakua kiasi gani?
Kama utakula chako, huitaji stationery na cheti ina maana utapaswa uchangie gharama ya ukumbi. Lakini unadhani ni trainer gani asiyependa utaratibu mzuri kwa washiriki wake? Yaani mnakula pamoja, unapata cheti na stationeries etc.
To cut the story short, hiyo gharama unayoona hapo ni offer.
 
Haha haaa akikujibu nitag[emoji23]
Hatupendi tuvuruge utaratibu wetu. Tunakula pamoja, tunatoa vyeti etc kama hili ni gumu subiri training nyingine ambazo unaweza kwenda na chakula chako
 
Nyie ni nani?
Mafunzo kila mtu anaweza kuyaendesha akiingia tu google na kupakua materials?
Taasisi/ofisi yenu inapower kiasi gani mpaka cheti chenu kiwe na power kazini au maishani mwangu?
Mliponiacha hoi ni pale mliposema only 2 chances.

1. Si kweli kuwa kila mtu anaweza ku-train
2. Tunajiamini, kampuni yetu ina uzoefu.
3. Ni kweli nafasi ni 2 tu zilizopo hatuhitaji zaidi ya watu hao

Aksante
 
Nyie ni nani?
Mafunzo kila mtu anaweza kuyaendesha akiingia tu google na kupakua materials?
Taasisi/ofisi yenu inapower kiasi gani mpaka cheti chenu kiwe na power kazini au maishani mwangu?
Mliponiacha hoi ni pale mliposema only 2 chances.

1. Si kweli kuwa kila mtu anaweza ku-train
2. Tunajiamini, kampuni yetu ina uzoefu.
3. Ni kweli nafasi ni 2 tu zilizopo hatuhitaji zaidi ya watu hao

Aksante
 
Watu bhn yaani anakwambia free of charge lakini cost analysis ni zaid ya fee hahahahahaha hapa umenikumbusha kitu yaani unakwenda dukani let say kununua kiatu unakuta leo kinauzwa 15000 wewe unaamua kuondoka na kusema hiki kiatu ni ghali Sana unakaa siku kadhaa unaona tangazo kubwa ya kuwa kuna discount ya 40% unaenda kwenye kiatu kile kile unakuta kinauzwa 45000 unaondoka Kwa furaha na kujisifia kuwa umepata discount kubwa na umenunua bei rahisi Sana [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Anyway keep on to promote your course

Baadhi ya watanzania tuna shida sana;
Mafunzo haya yaliandaliwa kwa watu fulani hivyo zimepatika nafasi 2 tu kwa watu wengine. Na ndizo hizi zinatangazwa. Gharama ni 800,000 na wapo waliolipa. Hizo 200,000 ni offer tu. Una hiari kuja au kuacha. Hakuna aliye lazimishwa.
 
Back
Top Bottom