Nafasi 150 za uhakimu makama ya mwanzo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafasi 150 za uhakimu makama ya mwanzo

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by sajo, Mar 7, 2012.

 1. sajo

  sajo JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 365
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  Leo tarehe 7 march 2012 kwenye gazeti la mtanzania,zimetangazwa nafasi 150 za uhakimu wa mahakama ya mwanzo..sikubahatika kununua gazeti hili as yamegombaniwa sana yakaisha mapema,so anuani ya kuombea sijaikariri ila najua ni kwa msajili wa mahakama ya rufaa, na vigezo ni degree ya sheria.. deadline pia sikuicheki frsh ila ni info tu so mnaweza hangaika wenyewe kupata full details,hata mimi nahangaika kuzitafuta..aliyenazo au atakaepata atuwekee
  humu.
  Ni hayo tu,majobless tuendeleeni kujaribu bila kuchoka
   
 2. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2012
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,197
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Digrii ya sheria kuwa hakimu mahakama ya mwanzo!!!!!!!!!!!

  Ukishangaa ya Musa ............
   
 3. F

  Ferds JF-Expert Member

  #3
  Mar 7, 2012
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 1,267
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  kwani unaelewa nini kuhusu mahakama ya mwanzo mpaka ushangae degree ya sheria kuwa hakimu wa mahakama ya mwanzo, acha ujuha wewe
   
 4. hengo

  hengo JF-Expert Member

  #4
  Mar 7, 2012
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 403
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hongera kwa moyo mkunjufu wa kututakia maisha bora yenye ajira.Anayeshanagaa degree kuwa hakimu wa primary court acha aendelee kuikalia degree yake akingojea green pasture
   
 5. K

  KIYENZEL Member

  #5
  Mar 7, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mzazi walimu wenyewe pamoja na degree zao wanapelekwa shule za kata kwa hiyo si nyie tu hata huku kwetu yapo
   
 6. Marumia

  Marumia JF-Expert Member

  #6
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 649
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mi sioni tatizo maana ha mbuyu nao ulianza kama mchicha... Changamkieni kazi za maana hizo manake joto la ujobless linaenda nyuzi joto 60. Kila la kheri kwa wenye vigezo.
   
 7. H

  Hamisihutuba New Member

  #7
  Mar 8, 2012
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  thankx man
   
 8. paesulta

  paesulta JF-Expert Member

  #8
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Jmani kuna mwenye gazeti hili la Mtanzania atusaidie kuweka nafasi hizi,angalau atupe nafasi zipi zimetangazwa,wapi tuna-apply na deadline...PLEASE..............
   
 9. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #9
  Mar 8, 2012
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,197
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Kijana usikurupuke!!!

  Hivyo wewe unajua kitu kinachoitwa Magistrates Courts Act wewe?

  Unajua Mtu mwenye LLB anasoma Nini? Unajua set up ya mahakama ya Tanzania unajua mahakama za mwanzo zinadeal na kesi za aina gani? Unajua mahakama za mwanzo zipo wapi ( location gani), very remote area Unajua aina ya kesi zinazosikilizwa mahakama ya mwanzo? Kama ungejua usingeniita Mimi ****.

  Ungeuliza ni kwa nini nina mawazo hayo.
   
 10. m

  makambakoo New Member

  #10
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ahsante kwa taarifa. Nnavyojua mshahara wa hakimu wa mahakama ya mwanzo ni Kurogwa, kutupiwa majini na kama ndo huko shinyanga kukatwa mapanga inapobidi. Hii sio kazi. Bora ukae zako hapa town na kuuza Kahawa.
   
 11. paesulta

  paesulta JF-Expert Member

  #11
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kama kawaida yetu tuna-diverge mada ya thread.KUNA MWENYE HIZO NAFASI ATUMWAGIE HAPA JAPO KWA MUHTASARI TU,acheni malumbano yasiyo na tija.
   
 12. L'AMOUR

  L'AMOUR Senior Member

  #12
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
 13. MKWECHE

  MKWECHE JF-Expert Member

  #13
  Mar 8, 2012
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 299
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kwani Degree ya Sheria Ina Nini Cha Ajabu,mpaka utake tushangae hili jambo la wenye degree za sheria kwenda mahakamani za mwanzo!Kwa Taarifa yako watu wenye LLB wamejamtaani mpaka hakuna pa kupita!miaka 5 ijayo watatakiwa makarani wa mahakama wenye llb!
  Hata mkweche nakushinda
   
 14. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #14
  Mar 9, 2012
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,197
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Digrii ya sheria kuwa karani wa mahakama halafu nisishangae ?

  Kuweni serious kidogo, sio kwa faida ya kupata kazi tu, Bali kwa kuangalia umesoma nini na unatumiaje ulichosoma kwa manufaa ya nchi. Kuandika summons? Kuandika removal order? Kuandika quorum? Kujaza fomu za dhamana?

  Kama tuko makini tubadili mfumo wa mahakama ili kuaccomdate hilo.
   
 15. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #15
  Mar 9, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,657
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Haina chochote cha ajabu ila wenyewe wanapenda sana kuikuza na kujiita wasomi.
   
 16. m

  magic New Member

  #16
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jaman naomba nisaidien adress naikiwezekana nipate full page yagazet la mtanzania iliyotangaza nafasi yauhakimu mahakama yamwanzo.
   
 17. k

  kimamii Member

  #17
  Mar 9, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sasa diploma ya sheria, cheti cha sheria sasa watapangiwa kazi gani................... tunakoelekea ili uwe judge inabid uwe na PHD
   
 18. B

  BILLY2TRY Member

  #18
  Mar 9, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 53
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Balaa tena wanaeleza aliyepitia Law school of Tanzania atafikiriwa kwanza!!
   
 19. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #19
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,263
  Trophy Points: 280
  :peep:when learned fellows fight for status!

  Sasa ngambo Ngali, huko kwenye mahakama za mwanzo ambazo ziko very remote area digirii za sheria zikienda zinakwama juu ya miti ama?:thinking::thinking:
   
 20. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #20
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,263
  Trophy Points: 280
  kazi zenyewe za sheria zilivyo za shida bongo! ngoja nimstue mrembo mmoja proffessional jobless, anasaka kazi for like 4 years now,labda atagundua kijijini napo kunafaa faa
   
Loading...