Nafasi 1097 za kazi kutoka TRA

Nafasi 1097 za kazi kutoka TRA

Haya tena kama kichwa kinavyojieeleza, TRA wamwaga nafasi za ajira.
View attachment 1983556
Document haifunguki kabisa
Screenshot_20211022-204557.png
Screenshot_20211022-204534.png
 
Nilifuta then nikaupload tena so kwa sasa inaweza kufunguka jaribu tena
 
Kuna mtu Kesha apply system imekubali mie naona kwangu inakataa, inasema sina job requirements na wkt nina BAF [emoji23], na zile za customs officer ukiingia kwny portal haipo
 
Hivi vyuo vingapi vinafundisha custom hapa tanzania?
Nahisi zile za mwanzo itakuwa wenyewe waandaaji walikeleka kwa vile hawaoni pa kuwapenyeza marafiki si kwa maswali yale.
 
Hivi vyuo vingapi vinafundisha custom hapa tanzania?
Nahisi zile za mwanzo itakuwa wenyewe waandaaji walikeleka kwa vile hawaoni pa kuwapenyeza marafiki si kwa maswali yale.
Kimoja tu ITA lkn kwny tangazo wametangaza Ila kwny portal hawajaiweka customs officer, kama sio uhuni nn
 
Back
Top Bottom