Nafasi 1097 za kazi kutoka TRA

Nafasi 1097 za kazi kutoka TRA

Kwa hili nyomi na yaliyotekea safari iliyopita sidhan ka watu wote wataitwa dodoma hapa application si chini ya efu 60

NAFASI ZA KAZI TAKUKURU (350 POST)

Kuna hio hapo nayo mkuuu kutoka TAKUKURU
 
Kuna mtu Kesha apply system imekubali mie naona kwangu inakataa, inasema sina job requirements na wkt nina BAF [emoji23], na zile za customs officer ukiingia kwny portal haipo
Hata mimi naona inzingua kwa upande wa ICT inasema check your academic qualification 🙁
 
Hata mimi naona inzingua kwa upande wa ICT inasema check your academic qualification 🙁
Nimejrb Tena imekubali, jrb na ww Tena na naona nafasi zote zimewekwa, itakua system ilikua inasumbua usikate tamaa mkuu
 
Kama unataka wakutoe kwenye system ya ajira portal uanze upya kujiregister ivi unafata process gan na he office za hii portal ziko wap
 
Nimejrb Tena imekubali, jrb na ww Tena na naona nafasi zote zimewekwa, itakua system ilikua inasumbua usikate tamaa mkuu
nimejaribu tena jioni hii naoma inaleta vilevile

Screenshot 2021-10-24 183859.png
 
NAFASI ZA KAZI TAKUKURU (350 POST)

Kuna hio hapo nayo mkuuu kutoka TAKUKURU
Hizi za PCCB zimebana kwenye umri sijui kwann wanafanya hivyo waache tu uwazi watu waapply MUNGU si ATHUMANI bhana kuwa watu na bahati zao na wamekaa sana kitaaa bila ajira....

Wangeondoa tu hichi kigezo....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom