andrew kisanga
Member
- Apr 27, 2013
- 53
- 23
Ndio kutubwaga kwenyewe huko...Mbona hata mm inakataaa....0
Ndio kutubwaga kwenyewe huko...Mbona hata mm inakataaa....0
Kama ulishaweka mara nyingi syteam yao inacomplicate kukubali changes isipokuwa labda ukitaka kuongeza vyeti vya elimu yako tu ndo inakubali, ila ni vizur ukawaona physically pale ofcn kwao Asha rose mighiro dodoma wata kusaidia kirahisi zaidi.
Kwanini usifungue account nyingine ukajaza upya?
Mkuu hili tatizo watu wengi sana linawakuta yaani. Na sijui inakuaje
Dar zilikuwepo mwanzoni ila baada ya kuhamia dodoma maeneo ya udom kule office za docta Asha rose mighiro ndio shuhuli zote za kioffice huwa wanafanyia kule kwa sasa.Duuh kumbe wako Dodoma kwa apa Dar hawana office..?
Unatoa msaada gani tujue kwanza maana Huko ajira portal chenga na PCCB bado JKT na Cheti cha Saba changamoto.Okay, unataka kuomba nafasi gani nikusaidie?
Au njoo PM chap
Hata mm kwy post ya customs inazingua,ila kwy tax management officer imekubali
Waliodhuria ya dodoma watupate hints ya maswali hasa ya tax management officerMara hii sijui tena kama pepa litalika maana hata sijui kwa hili nyomi....
Ngoja tuone tu...
Unaweza kusoma hicho kitabu mwishowe ukatoka kapa kwny paper maana Tax ina mambo mengi mno ila hicho kitabu kitakupa mwanga kidogo wa kujua tax ila sio 100%pia someni hichi kitabu mwanzo mwisho
B4 mtanishukuru
mi nipo apa kazini nakipitia ado ado
Wiki 2, nadhani interview watawaita watu j'mosi ya tarehe 20/11Wakuu hv huwa inachukua mda gani kutok siku ya mwisho kufunga dirisha la application paka kuita interview? Wenye uzoefu.
Natak nisafir sehem yenye network ya shida Zaid ya mwez mzim, nisije miss wito wa interview wakuu.
Shukurani mkuuWiki 2, nadhani interview watawaita watu j'mosi ya tarehe 20/11
Sio kweli..kwa hilo nyomi litakalo apply,tegemeeni kufanya interview either mwezi December au January huko.Wiki 2, nadhani interview watawaita watu j'mosi ya tarehe 20/11
Na baada ya interview uwa inachukua muda gani kuitwa kazini?Sio kweli..kwa hilo nyomi litakalo apply,tegemeeni kufanya interview either mwezi December au January huko.
Hayo ya kazini yaache kwanza..pambania kufaulu written kwanza coz huwa sio rahis kama unavyozania.Na baada ya interview uwa inachukua muda gani kuitwa kazini?
Kitabu kinaitwaje jina Mkuu naona hyo pdf haifungukipia someni hichi kitabu mwanzo mwisho
B4 mtanishukuru
mi nipo apa kazini nakipitia ado ado