Nafasi 1097 za kazi kutoka TRA

Nafasi 1097 za kazi kutoka TRA

Inagoma inasema user has an account
Ndugu nina tatizo kama lako email niloitumia kujisajiri ime be dis abled siwez itumia tena sasa sjui nifanye nikitumia akaunt ingine wanasema nina account tayari sasa sjui kama hili linasaidika nmeongea nao wakaniambia niandike barua nimefanya hivo ila bado hajanijibu na sku ndo zinaisha
 
Ah pole sana
 
Na baada ya interview uwa inachukua muda gani kuitwa kazini?
Nenda ufanye interview mzee. Suala la kuwaita ni process iliyo coordinated kati ya utumishi na mwajiri.
Mwajiri anapaswa kukamilisha taratibu za ajira na kujiandaa kuwapokea waajiriwa wapya ikiwa ni pamoja na kuwaandalia mafunzo ya muda mfupi kwa ajili ya kazi
 
vip ni lazima cheti cha kuzaliwa kiwe verified na rita? Ndio mtu atume maombi.
 
Back
Top Bottom