Alikua amekula pesa zang sanaHaah mkuu kwan ilikuaje
Kuna mmoja nlipanga kumkomoa miaka mingi nyuma nkaishia kujikomoa mwenyewe dushe kuvimba
Haahaaaa...Anajiita "masulupwete"
Huku kwetu Mkuranga sulupwete maana yake lile linanihii lisilotahiriwa(kono la sweta)
So tafsiri yangu juu yako ni kuwa wewe "great sulupwete" kwa katika mikono ya sweta wewe ndio naba yao.
Kwa mantiki hiyo huwezi timiza ndoto zake za kumkomoa ilhali wewe ni "lisweta" la hatari
Umenena mkuu. Toka jamaa aweke hii post yake moyo unanienda mbio sana. Sijui ni kwanini ila namuonea huruma sana huyo dada endapo jamaa atatekeleza ushauri anaopewa humu. Kuna mmoja kamwambia eti amf.re![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kinga n Bora kuliko tiba





Hee hii yako kiboko...dushe kuvimba tena?Kuna mmoja nlipanga kumkomoa miaka mingi nyuma nkaishia kujikomoa mwenyewe dushe kuvimba
Achana na ukomoaji sasa mkuu ww fanya yako tu kistaarabu maana sioni ata kibaya alichokufanyia mtoto wa watuHaaahaa hamna bana
Kanizungusha sana mkuuAchana na ukomoaji sasa mkuu ww fanya yako tu kistaarabu maana sioni ata kibaya alichokufanyia mtoto wa watu
Kuna usajili shulen kwako?Kumkomoa??mnakomoana??We uko form ngapi kwani?
Kuna wkt mnazngua sn dawa yenu kuwakomoaYani wanaume huwa mnafurahisha Sana'a..yani unataka ukitongoza tu uvuliwe kyupii..hapo unapanga kukomoa kisa umecheleweshwaa.
Ww lazma utakua wa 47. Leo hii unamuuliza babu?Hii mitandao inawapelekea watu kuwa wendawazimu. Kijana unakuja mbio kuuliza swali ambalo kama umepitia jandoni unakuwa unajua, kama ulikwepa jandoni basi nenda kwa babu yako akufundishe, kama huna babu basi jikaze kiume umuulize baba yako, humu utapotoshwa.
Vv
Angekaa kwenye msitari haraka ungesema ni bitch, ridhika na kila kitu mzeeKanizungusha sana mkuu
Mnakosa vitu vizuri sababu ya pupaa...usiwe na halaka kwenye mapenzi.Kuna wkt mnazngua sn dawa yenu kuwakomoa
Haaahaaa mkuu sio hivo...kwa sasa napokea tu ushaur bdae nitashirikisha halmshaur ya kichwa changu kuchambua natokajeUmenena mkuu. Toka jamaa aweke hii post yake moyo unanienda mbio sana. Sijui ni kwanini ila namuonea huruma sana huyo dada endapo jamaa atatekeleza ushauri anaopewa humu. Kuna mmoja kamwambia eti amf.re![]()
Juice ya Tikiti na limao kwa wiki au tangawizi na asali kwa wiki au kula bamia za kutosha kila siku kwa wiki..... hapo hapo usisahau mazoezi kama squatting ,jogging na kunywa maji mengi
Kitaalam kwene brainstoming sesheni hutakiw kukataa wazo la mtuUmenena mkuu. Toka jamaa aweke hii post yake moyo unanienda mbio sana. Sijui ni kwanini ila namuonea huruma sana huyo dada endapo jamaa atatekeleza ushauri anaopewa humu. Kuna mmoja kamwambia eti amf.re![]()