Debwadebwa
JF-Expert Member
- Sep 29, 2014
- 204
- 280
dawa ni moja tu 0713
Mrembo unatak kutest?Mpaka umkomoe unacho cha kumkomolea?
Una akili nyingi sana. Mkumbushe pia hayo anayotaka kufanya kuna wengine humu pisa watasoma na kuwafanyia dada na wanawe wa kike. Labda kama hao dada zake wanaishi angani.mmh! Yale yale:
1. Unamkimbiza mtu halafu unatamba eti "nimemkimbiza vibaya sana" na hali na wewe ulikimbia
2. Kungwi anamfunda mwali usiku kucha bila kulala "eti leo nimekomesha mwali hatukulala" na hali na yeye alikesha
Asante bora umemuuliza moja kwa moja bila kupapasa macho !!Mpaka umkomoe unacho cha kumkomolea?
Hapa natakiwa kutamka mfail au kama ilivyoandikwa?mfile
Hapa natakiwa kutamka mfail au kama ilivyoandikwa?
Safi sana.kama ilivoandikwa mfilee
acha porojo nyingi mkuu lete maujanjaUna akili nyingi sana. Mkumbushe pia hayo anayotaka kufanya kuna wengine humu pisa watasoma na kuwafanyia dada na wanawe wa kike. Labda kama hao dada zake wanaishi angani.
Wanasema
"What goes around comes back around"
Malipo ni hapa hapa tu. Atamkomesha dada wa watu, wakati anarudi nyumbani anakuta dada yake kakomeshwa tena zaidi na muhuni mwingine
Kivipi