National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,173
- 56,213
mawardat yupoHapa umeongea point. Hatuna hela na mbususu tunaishia ziona kwa kupitia vpn tuu๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ
Mzeya umehamankwa lizzy upo kwa mawardat sasa
๐ค ๐ค ๐ค ๐ค Lizzy simuwezi, 9 star yule... Hata kumakribia siwezi. Unacheza tu na tako skonzi la mawardat.Mzeya umehamankwa lizzy upo kwa mawardat sasa
Wacha wee, yaani kumbe mzeya una jienjoy na tako skonsi๐ค ๐ค ๐ค ๐ค Lizzy simuwezi, 9 star yule... Hata kumakribia siwezi. Unacheza tu na tako skonzi la mawardat.
๐ค ๐ค ๐ค ๐ค ๐ค Sema kuna watu wana mizigo humu, shida visu butu.. Leo acha nikatege morena.. Kuna mtoto mitaa ya kihonda last time alifanya maajabu hadi moyo ukashtuka ๐Wacha wee, yaani kumbe mzeya una jienjoy na tako skonsi
Hivi hapo morena kuna pisa hatari eeh? Mida gani utakuwepo hapo nijiunge nawe๐ค ๐ค ๐ค ๐ค ๐ค Sema kuna watu wana mizigo humu, shida visu butu.. Leo acha nikatege morena.. Kuna mtoto mitaa ya kihonda last time alifanya maajabu hadi moyo ukashtuka ๐
๐๐ Mida yangu mchana mchana nitakuwa nimeisha chukua na machinjio.. Kazi ibaki moyaa kula vitoeo.. Pale mjini ukiset radar yako vizuri unapata zigoooHivi hapo morena kuna pisa hatari eeh? Mida gani utakuwepo hapo nijiunge nawe
Aisee mzeya unachukua machinjio hapo morena....sikuwezi๐๐ Mida yangu mchana mchana nitakuwa nimeisha chukua na machinjio.. Kazi ibaki moyaa kula vitoeo.. Pale mjini ukiset radar yako vizuri unapata zigooo
Nilikopa ka mkopo mzee ๐๐๐. Acha nikafurahi sasa.. Kakiisha narudi homeAisee mzeya unachukua machinjio hapo morena....sikuwezi
Mmh!!! AiseeeWakuu salama? Kichwa cha habari hapo juu chahusika. Nina rafiki yangu wa kike(sio kimapenzi), kiukweli tumeshibana sana.
Tuna-share vitu vingi in common(hasa gambe). Kwa kifupi lake langu, langu lake. Sasa kilichonileta mbele yenu ni hichi, mara ya kwanza kumjua mtu wake ni Mume wa mtu, tena mshkaji sana maana nae huwa tunajumuika nae kwenye vikao vyetu na hilo nikawaachia wenyewe na jamaa hana neno na anahakikisha demu yupo vizuri, ila lilinihangaisha hapa kati ni kuja kugundua demu ana jamaa tena mwingine ambae yuko serious na anataka kuoa.
Mbaya zaidi jamaa nae ni mshkaji vilevile(mkoa niliopo nina kaumaarufu flani ka kujichanganya na wana maana nimekulia hapa). Sasa nimeona mtego mkubwa ni kuwa hawa jamaa hawajui kama wanakula pamoja! Na wote hata kama wako mbali au wakinikuta na bibie hawana noma maana ratiba zao huendelea, me zangu kufyonza mvinyo na kulala au kama nipo na wangu huendelea na ratiba zangu na kuwaachia uwanja.
Nawaza siku likibumbuluka ntaonekaje? Demu anataka kuolewa ila Mume wa mtu ndio mtoaji zaidi. Muoaji mkono wa birika. Nategemea busara hapa.
Afu shemela acha hizo banaaaNyuki wa canteen....
Na wewe mtafune kubalance mizani.Wakuu salama? Kichwa cha habari hapo juu chahusika. Nina rafiki yangu wa kike(sio kimapenzi), kiukweli tumeshibana sana.
Tuna-share vitu vingi in common(hasa gambe). Kwa kifupi lake langu, langu lake. Sasa kilichonileta mbele yenu ni hichi, mara ya kwanza kumjua mtu wake ni Mume wa mtu, tena mshkaji sana maana nae huwa tunajumuika nae kwenye vikao vyetu na hilo nikawaachia wenyewe na jamaa hana neno na anahakikisha demu yupo vizuri, ila lilinihangaisha hapa kati ni kuja kugundua demu ana jamaa tena mwingine ambae yuko serious na anataka kuoa.
Mbaya zaidi jamaa nae ni mshkaji vilevile (mkoa niliopo nina kaumaarufu flani ka kujichanganya na wana maana nimekulia hapa). Sasa nimeona mtego mkubwa ni kuwa hawa jamaa hawajui kama wanakula pamoja! Na wote hata kama wako mbali au wakinikuta na bibie hawana noma maana ratiba zao huendelea, me zangu kufyonza mvinyo na kulala au kama nipo na wangu huendelea na ratiba zangu na kuwaachia uwanja.
Nawaza siku likibumbuluka ntaonekaje? Demu anataka kuolewa ila Mume wa mtu ndio mtoaji zaidi. Muoaji mkono wa birika. Nategemea busara hapa.
Shemela we pika chai halafu lile sufuria lenye chai na mchai chai uliache hapo oooh utajionea mwenyeweAfu shemela acha hizo banaaa
Kiukweli anachosha sanaNaisi
Hata ukipita mtaani unaiona mbususu ya manzi ileeee Iko kwenye Dela.
Yaan katika ile dhambi kwamba ukimtazama mwanamke Kwa kumtamani umezini nae, sasa wewe bwana umeenda mbali zaidi ukiona Uzi hata wa siasa tayari unahisi humu mbususu haiwezi kukosa
Hii kitu ni hatari Zaid ya nuclear
Bado nacheka๐๐๐๐Watu dizaini yako mnakuaga wapambe wapambe afu wambea kichizi