Hili nalo neno!Na wewe muonje
Uwezo wako wa kufikiri ndio umeishia hapo?Nyuki wa canteen....
Aisee!
Kuna mengine unayaacha yapite mkuuAisee kumbe mume wa mtu ndio mtoaji zaidi. Vijana tutaendelea kugegedewa warembo wetu.
Mzeya sasa kwa nini na wewe usijiongeze kwenye kula utamu
Utakua na uzoefu na hili na vitabia vichafu vichafuWatu dizaini yako mnakuaga wapambe wapambe afu wambea kichizi
Hakika umenena vema MkuuMind your own business..... Endelea kugonga mvinyo[emoji23][emoji23][emoji23]
Evelyn Salt Unamwita mtoa mada nyuki wa canteen kwanini? hlfu nyie wadada sijui mkoje tukiwa na nyie kwenye urafiki, tukiwatongoza mnalalamika ooh kwani wanaume hamuwezi kukaa na mdada kwenye urafiki bila kukulana, tusipowatongoza mnatuita nyuki wa canteenMostly hawanaga faranga
Sam punguza upambe umbea na ushika pembeUtakua na uzoefu na hili na vitabia vichafu vichafu
Lamba lamba tu vikombe vya chai na sukariUwezo wako wa kufikiri ndio umeishia hapo?
Wewe inakuhusu Nini?Wakuu salama? Kichwa cha habari hapo juu chahusika. Nina rafiki yangu wa kike(sio kimapenzi), kiukweli tumeshibana sana.
Tuna-share vitu vingi in common(hasa gambe). Kwa kifupi lake langu, langu lake. Sasa kilichonileta mbele yenu ni hichi, mara ya kwanza kumjua mtu wake ni Mume wa mtu, tena mshkaji sana maana nae huwa tunajumuika nae kwenye vikao vyetu na hilo nikawaachia wenyewe na jamaa hana neno na anahakikisha demu yupo vizuri, ila lilinihangaisha hapa kati ni kuja kugundua demu ana jamaa tena mwingine ambae yuko serious na anataka kuoa.
Mbaya zaidi jamaa nae ni mshkaji vilevile(mkoa niliopo nina kaumaarufu flani ka kujichanganya na wana maana nimekulia hapa). Sasa nimeona mtego mkubwa ni kuwa hawa jamaa hawajui kama wanakula pamoja! Na wote hata kama wako mbali au wakinikuta na bibie hawana noma maana ratiba zao huendelea, me zangu kufyonza mvinyo na kulala au kama nipo na wangu huendelea na ratiba zangu na kuwaachia uwanja.
Nawaza siku likibumbuluka ntaonekaje? Demu anataka kuolewa ila Mume wa mtu ndio mtoaji zaidi. Muoaji mkono wa birika. Nategemea busara hapa.
Ndio kama hivi, umbea.Mwanaume unakuaje na urafiki na Mwanamke? Mnakua mnaongea nini yani?
Sasa kwa nini usikule na kutafuna kila sketi kama sketi yenyewe inataka kupelekewa motoUtakuwa mgeni wa mambo na kaulimbukeni flani.
Utakula na kufunua kila sketi?
🤠🤠🤠🤠 Bwana weee kesi hii, ndege wote watapaaa🤣🤣🤣 Mbona ata Extrovert nae yumo sana kwenye mambo ya mbususu. Tena kuna jamaa anaibumia kwa kasi National Anthem
Ndege wote ndio watafurika kwako mzeya. Watataka kujua kama kweli mzeya unajua kugegeda mbususu🤠🤠🤠🤠 Bwana weee kesi hii, ndege wote watapaaa
🤠🤠🤠🤠 Shida hatuna hela sasaNdege wote ndio watafurika kwako mzeya. Watataka kujua kama kweli mzeya unajua kugegeda mbususu
Hapa umeongea point. Hatuna hela na mbususu tunaishia ziona kwa kupitia vpn tuu😭😭😭😭🤠🤠🤠🤠 Shida hatuna hela sasa