Nafananishwa na Albert Einstein wa Ujerumani

wakati nipo chuo hata mimi walikua wananiita Ivo ivo
 
Wakuu kwema? Poleni na majukumu,

Kitaani kwetu na hata oficn watu wananifananisha na Elbert Einstein kwa matendo, interejensi n.k


Sasa sijajua huyo Einstein alikuwa na sifa gani hapa duniani hasa huko ujerumani na badae marekani alikohamia.
Kwema Mkuu,Mkuu mi nakufananishaga na Professor flani hivi Ambae ana akili sanaaa,watu wafanyaje wawe kama wewe?
 
Mkuu pole sana maana huyo unayefananishwa nae aliigeuza Hiroshima na Nagasaki juu chini, mpaka kizazi kikizaliwa kinakua na ulemavu...
Yote tisa jamaa aliomba radhi kwa masaibu yale ya Wajapan kabla ya hajakufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…