Itakuwa una sharubu na minywele kama ya Einstein. [emoji2][emoji2]Wakuu kwema? Poleni na majukumu,
Kitaani kwetu na hata oficn watu wananifananisha na Elbert Einstein kwa matendo, interejensi n.k
Sasa sijajua huyo Einstein alikuwa na sifa gani hapa duniani hasa huko ujerumani na badae marekani alikohamia.
Utakuwa mkeweWakuu kwema? Poleni na majukumu,
Kitaani kwetu na hata oficn watu wananifananisha na Elbert Einstein kwa matendo, interejensi n.k
Sasa sijajua huyo Einstein alikuwa na sifa gani hapa duniani hasa huko ujerumani na badae marekani alikohamia.
Kenge wewe unajua ni yupi anaezungumziwa? Au unajipendekeze ili nikubebeshe mimba?
Chunga sana kijana utajikuta muhimbili ukifanyiwa operation ya kutoa mtoto tumboni.
kuna watu hamna aibu
ulitakiwa ujifananishe na punda au hata mbuzi
Mwita hano horenge hayoKenge wewe unajua ni yupi anaezungumziwa? Au unajipendekeze ili nikubebeshe mimba?
Chunga sana kijana utajikuta muhimbili ukifanyiwa operation ya kutoa mtoto tumboni.
Interigense dahWakuu kwema? Poleni na majukumu,
Kitaani kwetu na hata oficn watu wananifananisha na Elbert Einstein kwa matendo, interejensi n.k
Sasa sijajua huyo Einstein alikuwa na sifa gani hapa duniani hasa huko ujerumani na badae marekani alikohamia.
Ujerumani mashariki kwa mambwiga! Bwakyakyakyahahaa!wa Ujerumani alikuwa anaitwa Albert huyu Elbert sijui ni wa Ujerumani ipi
Angalia hapo chini mtu namba 21 kwenye link hiiWakuu kwema? Poleni na majukumu,
Kitaani kwetu na hata oficn watu wananifananisha na Elbert Einstein kwa matendo, interejensi n.k
Sasa sijajua huyo Einstein alikuwa na sifa gani hapa duniani hasa huko ujerumani na badae marekani alikohamia.
Wakuu kwema? Poleni na majukumu,
Kitaani kwetu na hata oficn watu wananifananisha na Elbert Einstein kwa matendo, interejensi n.k
Sasa sijajua huyo Einstein alikuwa na sifa gani hapa duniani hasa huko ujerumani na badae marekani alikohamia.
Kitaani?
oficn?
Elbert?
interejensi?
ujerumani?
baadae?
marekani?
Wanakufananisha lakin si kwamba unamfikia jamaa. Hapana ila sifa kubwa ni genius na mvumbuzi wa masuala makubwa dunianoWakuu kwema? Poleni na majukumu,
Kitaani kwetu na hata oficn watu wananifananisha na Elbert Einstein kwa matendo, interejensi n.k
Sasa sijajua huyo Einstein alikuwa na sifa gani hapa duniani hasa huko ujerumani na badae marekani alikohamia.
Huyu mtu ni zaidi ya garbageinterejensi??????????
what the fu.ck is this garbage?