Naepuka vipi magamba mikononi baada ya kutumia sabuni ya Unga?

Ukitaka mikono isichubuke unapoweka sabuni kwenye maji subiri kidogo mkuu hata kwa dakika 20-30 Kisha ndo uanze kufua acha kidogo sabuni ikae kwenye maji
 
Ukitaka mikono isichubuke unapoweka sabuni kwenye maji subiri kidogo mkuu hata kwa dakika 20-30 Kisha ndo uanze kufua acha kidogo sabuni ikae kwenye maji
Dah mkuu hyo njia naona haiko poa kwangu kabisa.

Mana kila nikitaka nifue nguo na kutumia sabuni kwa nguo basi nisubiri nusu saa manake ntafua siku nzima
 
Kama hali inaruhusu chkua mashine ya kufulia Nikura 8kg ni Tsh400k tu.
Inakusaidia kutohusisha ngozi yako ktk uchanganyaji wa sabuni.
 
Tusidharauliane basi Mkuu

Ok tuchukulie nimeloweka tayari nguo 10 kwa pamoja kwenye beseni.

Sasa maji hayo ya kwenye beseni ndo nitafulia nguo zote mpaka zitaisha sitotumia maji ya sabuni Mengine mkuu?
Ukiloweka nguo mara kwa mara zinapauka mpaka utashangaa mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usitumie maji ya chumvi kufulia na sabuni ya unga, mchanganyiko wake haupatani na ngozi yako. Hata mimi inanitokea hiyo nikitumia ya chumvi na omo kufulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…