Naepuka lawama

Naepuka lawama

Nakumbuka miaka ya nyuma
Nilipopokea barua kutoka kwa mama,akinipa malalamiko yake
Kwamba Yupo mbali na Baba!
Kwa uchungu niijibu barua ya Mama,
Ya kwamba nitajaribu kuwasuluhisha
Lakini hilo lilinishinda
Leo,nawaeleza muelewe jamani
Sitaki mnilaumu mie mwenzenu,
MATATIZO YAMENIZIDI UMRI!!
Matatizo yamekuzidi Yes! Kwa kuwa una laana wewe
 
Nimeumia mpaka mchoz,ivi kwann kama unampenda mama aliyekuleta dunian hamthamin mwanamke uliyempa mimba,unamwambia toa mimba,mtoto siyo wangu,mimba siyo yangu.Ninachomshukuru Mungu majinja inapotokea inaenda sana na wanaume na kuacha watoto
 
Mtetee mama, tena umpiganie haswa awe salama. Mama anatakiwa kulindwa kwa nguvu zote; UTAOMBA RADHI BAADAE KWA BABA HASIRA ZIKIPOA, ila mama yupo salama kuliko umwache mama akiaibishwa na kuvuliwa nguo mbele ya halaiki. Mpiganie mama kwani yeye ndo anajua uchungu wako, ulikuwa ukirusha vipi miguu tumboni, ulikuwa unakula vipi ulipo kuwa tumboni. Acha masikhara ndugu, MAMA YANGU NITAMLINDA KWA GHALAMA YOYOTE, nampenda sana MAMA YANGU.
I love you
 
wanawake nao wana vimambo vya ajabu si cha kushangaza hata wewe huyo sio baba yako.
akikosea apigwe kweli me siko upande wowote ila nachomanisha mtu akifanya makosa aadhibiwe hata baba yangu aliadhibiwa na kupelekwa polisi. nasema tena wanawake ni pori huwezi kumwelewa ukijikuta unasoma njia zake utakua chizi wala hutafanikiwa bora mwanaume huwa mkweli na anaonyesha kabisa katokea mahali fulani lakini mwanamke kumtambua ni ngumu sababu wanajua kutunza siri sana. nasema tena kama kakosea huyo mama yako na apigwebvyakutosha na afunzwe hata marehemu baba yangu nae alipigwa.
 
Ugomvi wa baba na mama,siwezi kuingilia kwa sababu ningali mdogo,wapo wazee,majirani na ndugu watakaosuluhisha!
Ingawa rafiki zangu wananilaumu,eti siwajali wazazi wangu tena siwajali kwa shida na mambo yao,sio kweli mimi nasema,ukweli ninao mwenyewe.

NITAWAELEZA;

Hata kama baba ndie mwenye kosa nifanye nini, hata kama mama ndie mwenye kosa niamueje mie! Nisije kosa radhi ya baba nisije kosa radhi ya mama!

[HASHTAG]#Naepuka[/HASHTAG] Lawama,naepuka lawama,miimi sio mtoto wa upande mmoja, nisimame upande gani mwenzenu?Nisije nikaharibikiwa!
Wewe choko kweli wewe, sasa ndio umeandika upuuzi gani hapa
 
Ugomvi wa baba na mama,siwezi kuingilia kwa sababu ningali mdogo,wapo wazee,majirani na ndugu watakaosuluhisha!
Ingawa rafiki zangu wananilaumu,eti siwajali wazazi wangu tena siwajali kwa shida na mambo yao,sio kweli mimi nasema,ukweli ninao mwenyewe.

NITAWAELEZA;

Hata kama baba ndie mwenye kosa nifanye nini, hata kama mama ndie mwenye kosa niamueje mie! Nisije kosa radhi ya baba nisije kosa radhi ya mama!

[HASHTAG]#Naepuka[/HASHTAG] Lawama,naepuka lawama,miimi sio mtoto wa upande mmoja, nisimame upande gani mwenzenu?Nisije nikaharibikiwa!
Long time mkuu,ni nani huyo! Cosmas Chidumule?
 
Back
Top Bottom