AljuniorTz
JF-Expert Member
- Jan 6, 2009
- 544
- 17
Jumatano umeme warudi yakhe!
Zenji nimekuchoka kila mara Zenji na umeme hakuna joto kali na mvua zinanyesha sana huko sitaki
Umeme umesharudi jioni hii
Jumatano umeme warudi yakhe!
Zenji nimekuchoka kila mara Zenji na umeme hakuna joto kali na mvua zinanyesha sana huko sitaki
Umeme umesharudi jioni hii
.......!Shukrani ndo napatisha Kitonga hivi na New Force
Shukrani ndo napatisha Kitonga hivi na New Force
Mkuu Mashariki nitakuja New year ipo barabara ya ngapi hiyo?
Jamani yote kwa yote kuna HOOD ya Tunduma,Wafanya biashara wa kanda hizo wanaiita PANYA BUKU,ni balaa,Xmas njema Fidel!!!zile sumri CHA MTOTO!mlimani kama zimesimama jinsi zinavyodorora.hata ali-saidi ameleta yutong kama za sumri,HAMNA KITU ZILE!kama unataka respect kamata NEW-FORCE ya tunduma.