Naenda Vekesheni

Umeme umesharudi jioni hii

RISALA FUPI YA MAREHEMU UMEME ZNZ

Marehemu alizaliwa 1976 huko kidatu TZ BARA,Katika uhai wake aliwatumikia wazanzibar kadri ya uwezo wake,marehemu alisumbuliwa na maradhi mbali mbali kama vile kukatika mara kwa mara na mgao.

Wakati wa Salmin aliwahi kaufleti kwa kipindi cha ramadhani hadi siku kuu na serikali kuamua kuongeza sikukuu ya tano,mnamo mwaka 2008 Aliwahi kufleti kwa muda wa sk 28,na kufanikiwa kurudia hali yake ya kawaida kwa msaada wa madaktari kutoka NORWAY.

Mnamo tar 10/12/2009 Marehemu alikua katika matibabu na madaktari kutoka south afrika lakini hawakufanikiwa na kupoteza maisha Katika kijiji cha Fumba ZNZ.

Katika uhai wake marehemu alifanya mengi ikiwemo kumurika watu na mali zao pamoja na kukuza uchumi.marehemu ameacha watoto wawili,GIZA na JOTO,WAKE 2,TABU YA MAJI na HARAMA ZA NAULI KUPANDA,na HAWARA 2 Mapacha,DIESEL na PETROL.
MUNGU AMLAZE MAHALA PEMA PEPONI.
AMIN
 
Fidel sijakuona kule kwa Michuzi ukiwa vekesheni!

Mpwa nitapiga picha za kutosha nitaweka kwa Mithupu naona wengi wanahamu ya kuniona mkae mkao wa kula mtaona Mdau wa kujiexpress akiwa vekesheni Nyanda za juu kusini.
 
Nenda Tanga, kuna hotel moja inaitwa Nyinda, nzuri sana, nilikwisha enda siku moja, you will enjoy your vacation.
 
Nenda Tanga, kuna hotel moja inaitwa Nyinda, nzuri sana, nilikwisha enda siku moja, you will enjoy your vacation.

Mkuu Mashariki nitakuja New year ipo barabara ya ngapi hiyo?
 
zile sumri CHA MTOTO!mlimani kama zimesimama jinsi zinavyodorora.hata ali-saidi ameleta yutong kama za sumri,HAMNA KITU ZILE!kama unataka respect kamata NEW-FORCE ya tunduma.
Jamani yote kwa yote kuna HOOD ya Tunduma,Wafanya biashara wa kanda hizo wanaiita PANYA BUKU,ni balaa,Xmas njema Fidel!!!
 
Merry-Christmas-with-tree.gif
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom