hiyo ni kazi ya wazee wako au mtaani kwako mmejaa mayanki watupu?

safari njema mkuu na kila la heri
We nenda kishkaji hamna noma hata nn as long as mtoto kakuzimia hapo silaha ni juhudi tu kunano 6×6 mambo mengine baadae kudadadeki
labda jeshi la mtu mmoja huyo...mshenga yeye,,mzee yeye..muoaji yeye...
Habari za mchana wana mmu, niko mbele yenu kuna kitu kinanitatanisha. Kidogo hapa, kuhusiana na swala la kwenda ukwenu(kwao na mwanamke) kwa ajili ya kujitambulisha na kuuweka wazi uhusiano wangu mim na yeye kwa wazee wa pande zote mbili, sasa kuna mkanganyiko hapa, je kuna haja ya kwenda na barua?? Au ndo inakuaje kwa wale mnaojua?? Ni kujitambulisha tu na siyo kuposa!!
Pole mkuu....hili ni moja ya andalio muhimu ambalo ulipaswa kujiuliza mapema sana kabla ya siku ya kwenda kujitambulisha...na mwenye kukupa jibu kamili ni mchumba wako kwan angeuliza utaratibu ukoje kulingana nakabila lao,au ungeulizia kwa wazee wa kabila linalofanana na mchumba wako utaratibu ukoje...maana haya mambo sio uniform
baptist utaratibu wa barua ama lah unategemeana na kabila. Ungesema hapa binti ni wa kabila gani ungesaidiwa.
Mfano Wachagga hawanaga barua wala nini! Unachokifanya ni wewe kuweka mazingira ya wazee wa pande mbili kukukutana na kuzungumzia swala lako. Baada ya hapo ndio utatoa posa
Habari za mchana wana mmu, niko mbele yenu kuna kitu kinanitatanisha. Kidogo hapa, kuhusiana na swala la kwenda ukwenu(kwao na mwanamke) kwa ajili ya kujitambulisha na kuuweka wazi uhusiano wangu mim na yeye kwa wazee wa pande zote mbili, sasa kuna mkanganyiko hapa, je kuna haja ya kwenda na barua?? Au ndo inakuaje kwa wale mnaojua?? Ni kujitambulisha tu na siyo kuposa!!
mkuu kuminimize cost nuua kabisa fimbo ya babu,kitenge cha bibi,branket la mama,begi la shangazi,suruali mbili za baba mzaa chema na vngne vya ziada wakianza cjui fimbo ya babu unaitoa cjui nn yan hakun kuchenga kila kitu unacho hakuna cha kutoa hela
Ni mjini au kijijini?