Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,056
- 8,532
Kuna bidhaa kubwa ya mbao ambayo inatoka mkoani humo hivo kuna sehemu nyingi zakuchakata bidhaa iyo, naamini kama si mchaghua kazi utapata.Nashukuru kwa ushauri mkuu! Ubarikiwe Sana.. Vipi kibarua Siwezi Pata huko?
Japo mkoa wenye uhakika wa kazi za vibarua ni dar es saalam.