Mzee wa docebit... yaani kama nakuona ulivyomaind huyu dude!!! Inawezekana kabisa anaandika ka-study au assignment ya sociaology huko alipo na hapa ndio venyu ya kupata respondents badala ya questionnaires
Mpotezee aisee
Amani Omnia
ccm sio mbaya, watu ndio wabaya na kama mtanzania kijana ninayekubalika jimboni na watu wa kada balimbali, naamini ninalo jukumu la kuchangia chachu ya mabadiliko ndani ya ccm na hatimaye itatimiza matarajio ya wanachi. kumbuka mkuu, mkono ukichafuka haukatwi bali hsafishwa! tutafika tu.
kuhusu ushindi, sina shaka hata idogo mkuu, nitapita tu. tuombe uzima
Mkuu,
Nakutakia mafanikio mema huko wilayani. Tumesema sana na inabidi wengine kujiingiza huko na kujaribu kufanya yale yaliyowashinda wengi.
Kama unataka baadhi ya TIPS tuwasiliane kwa PM japo sina uzoefu mkubwa ingawaje miezi mitano ya kuwa kwenye firing line kwa vyovyote kuna vitu nimejifunza.
I am for change na yeyote anayeamini katika mabadiliko ya kweli bila kujali yuko kambi gani, mimi nitampa japo moral support. Wengine mabingwa wa kusema lakini vitendo sifuri. Matendo huvuma zaidi ya maneno matupu.
Safari njema na mafanikio mema.
Katika kipindi cha wiki tatu nitafanya safari kadhaa katika nchi takriban nne hivi ikiwa ni katika kuweka sawa masuala yangu huku ughaibuni kwani februay nitarejea nyumbani ambapo pamoja na mambo mengine nitatangaza rasmi nia yangu ya kugombea ubunge jimboni kwangu.
Ntarajia kugombea ubunge kupitia jimbo la uchaguzi kwa tiketi ya ccm. kutokana na ukweli kwamba kura za maoni za ccm zitapigwa na wanchama wote, ni wazi kuwa kazi ya kuweka mambo sawa jimboni ni kubwa zaidi kuliko katika chaguzi zilizopita. Tayari timu yangu iko jimboni kwa wiki kadhaa sasa na ninalazimika kwenda huko mapema kuiongezea nguvu hasa ikizingatiwa kuwa baada ya march nitakuwa tena na safari nyingine za ngambo.
Kutokana na ratiba yangu kuwa ngumu katika kipindi hiki, ni wazi sitaweza kuwa na muda mwingi ndani ya JF halikadhalka nikiwa jimbon siaweza kupata connection ya uhakika ya internet na hivyo nitawamiss sana wapendwa.
Nawatakien kila la her na tuendelee kuombeana heri katika harakati mbalimbali tuanazofanya kwa manufaa yetu na nchi yetu
asanteni