@ Cantalisia mY SWEET WIFI mbona umepatwa na kigugumizi?
walakini wa nin? Au ushawahiwa hayo madesa?
Mi nilidhani unakwea pipa kumbe ni hapa hapa kwa Nyerere..
unamsalimia Canta wakati unajua nina ugomvi naye.
Aliniibia bwanangu rejao
ila nilikuwa simpendi saaaana, kilikuwa kidumu.
Ohhh Kongosho ma dia...unamsalimia Canta wakati unajua nina ugomvi naye.
Aliniibia bwanangu rejao
ila nilikuwa simpendi saaaana, kilikuwa kidumu.
Ohhh Kongosho ma dia...
kumbe bado unaugulia maumivu? Usijali, kodi ya nyumba nitaendelea kukulipia, gari nitakuwa nakuwekea mafuta pia
Tukiguswa au kujisikia walau tukutumie vijiposho hata vya crdt, kwa dhamira ya kujenga mapenzi ya kindugu , tukupateje ?
Note : not jokes naheshimu nnachokisema, leo kwako, kesho kwangu.
soma kwa bidii
Haya kasome. Mi nipo form v. Nikifika chuo nitakutafuta unipe madesa.
Ni PM, ntakupa contact wala usijari nami pia ntashukuru kwa yote...
Umefika salama?
Tukiguswa au kujisikia walau tukutumie vijiposho hata vya crdt, kwa dhamira ya kujenga mapenzi ya kindugu , tukupateje ?
Note : not jokes naheshimu nnachokisema, leo kwako, kesho kwangu.
Ni PM, ntakupa contact wala usijari nami pia ntashukuru kwa yote...
madenti wa siku hizi wajanja......mie nilipokuwa form v hata mitandao sikuijua kabisa!
Hayakuhusu.......
ushaenda shamba??
Nimefika salama Wangu, vp wikiendi yako?
mme wangu kweli una upendo. msaidie dogo asije akasupp bure kisa bum kwishney.
Nimefika salama Wangu, vp wikiendi yako?