Mtalingolo
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 2,181
- 409
Naweza sema ni nyumbani kwakuwa muda mwingi nautumia nikiwa chuo kuliko home,
Wanajamvi niko safarini kijana wenu, tuombeane kheri nduguzangu,
Nawatakia wikiend njema wote.
safiri salama...hope tutaendelea kushirikiana jamvini...wakati mapumziko sio?
Tutakuwa pamoja BAGAH, ukiona kimya sana ujue mambo tyt
sawa sawa!..
pamoja sana, jamaako hajaamka mpaka sahz?
jamaa angu??napata majibu mengi hapa!..
Mtaly masomo mema..
Kila la kheri ndugu.
Safiri salama, na mafanikio pia!
Nashukuru Apollo, ila tutazidi kuonana humu ndani.
safi mkuu. Jf idumu. Hata huku chuoni tunaidumisha Jf.
Si Erick b52 nawewe..
pamoja sana, jamaako hajaamka mpaka sahz?
aaah...huyu yuko kifuani saa hizi...ila kwa mke mdogo...maana naona Amyner yuko hapa!
Nipo nawaangalia kwa mbalii...
Nilikuwa namfariji Angel kwanza...
Safari njema kijana....
Tutakumisss ukiwa busy