The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 1,993
- 2,635
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema wiki hii nitaenda Arusha kwa nabii mkuu Dr. Geo Davie na mimi nikakusanye maokoto ya mpunga au gari nitalia mpaka anionee huruma. Nataka kufungua duka la spea za magari hivyo nahitaji mtaji.