Naelekea kufa kwa njaa siku si nyingi

Naelekea kufa kwa njaa siku si nyingi

Pole sana ila usikate tamaa ili hali unakianzio
Umekata tamaa tu ya car wash ila ndo sehem pekee ungetokea
Rudi tena posta
Nenda sehemu zile zile ulizokuwa umelenga
Usikate tamaa na jibu moja , wakiona tena tena watajua kweli ww muhitaji

Haina Kufeli , wala usiogope

Sent using Jamii Forums mobile app
Nima Imma mawazo yako nayaelewa na kuyakubali sana
 
Uzi za vijana kulalamika njaa na stress zimeongezeka, Ccm haawana habari kabisa,

Akitokea mtu mmoja kama Joseph Kon au Bosco Ntaganda na kuwakusanya hawa vijana kisha kuwapelleka msituni na kuwapa bunduki na misosi naona ndo CCM itashtuka usingizini

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo matapeli ni wengi, hatuna imani kama hao wanaolalamika ni kweli kama ilivyo kwa marehemu Mpauko au wanataka kutupiga.
 
What ????

Portfolio | 2020

Tuliza kichwa kidogo.

2338889_IMG_20200316_002122_916.jpg
 
Kutokana na uzoefu wangu, anza na hawa:

1. SimpliSafe

Ofisi zao ziko posta near posta mpya kama unaelekea jengo la Rita.

2. G1 Security

Ofisi ziko Upanga ukifika Diamond Jubilee ulizia

3. Hizi nimesahau jina ila ukikosa huko, nishtue.

= = =

Uzuri wa hizi mara nyingi ni za kukaa tu kuliko viwandani unabebeshwa mizigo usiku kucha.
 
Kutokana na uzoefu wangu, anza na hawa:

1. SimpliSafe

Ofisi zao ziko posta near posta mpya kama unaelekea jengo la Rita.

2. G1 Security

Ofisi ziko Upanga ukifika Diamond Jubilee ulizia

3. Hizi nimesahau jina ila ukikosa huko, nishtue.

= = =

Uzuri wa hizi mara nyingi ni za kukaa tu kuliko viwandani unabebeshwa mizigo usiku kucha.
Naenda huko mkuu, nasikia wana Consider urefu uwe above 5.7 futi.

Portfolio | 2020
 
“Kwa ninachokiona sasa naenda kufa kwa njaa siku kadhaa mbele”

Hivi nitawezaje kuishi kwa hii 5000/= week nzima.

Mambo mengine yajakaa sawa Pakujishikiza palipokuwa pananipa vipesa vya kula na nauli za kusaka kazi mjini kumeungua kabisa.

Mnisaidie 50,000/= nikimbilie Viwandani kesho kuhonga supervisor ikiisha hii 5000/= ndio mwisho wa ujanja wangu maana sizalishi tena.

View attachment 1389530View attachment 1389532

Portfolio | 2020
mimi sintokuchangia hiyo 50,000/= ya kuhonga supervisor,na sidhani kama kuna wa kukuchangia rushwa.Una taaaluma ipi?are you competent enough?Una nguvu na ari ya kufanya kazi halali?Nitafute nikupeleke sehemu ukapambane kwenye usahili bila rushwa wala hongo.Vijana jiaminini,soko la ajira la Afrika mashariki likiachiliwa kwa hakika vijana wengi wa Tanzania hawatatoboa,jiamini jifunze kujieleza,kuwa competent.
 
Kutokana na uzoefu wangu, anza na hawa:

1. SimpliSafe

Ofisi zao ziko posta near posta mpya kama unaelekea jengo la Rita.

2. G1 Security

Ofisi ziko Upanga ukifika Diamond Jubilee ulizia

3. Hizi nimesahau jina ila ukikosa huko, nishtue.

= = =

Uzuri wa hizi mara nyingi ni za kukaa tu kuliko viwandani unabebeshwa mizigo usiku kucha.
Ushauri wako mzuri hapo ashindwe yeye tu
 
Nenda mikocheni b (viwandani) industrial area mitaa ya ITV kuna viwanda kibao kule kazi nje nje tena za masaa unalipwa kutokana na kazi uliyoifanya, muda wote kazi zipo

Hiyo 5,000 fanya nauli nenda kule utapata


Watu mnachukulia rahisi kuomba omba hela jamani maisha magumu kwa wote kila mtu akisema shida yake itakuaje humu?? M naona wale wenye shida nzito nzito kama maradhi ndio waombe ila wazima wa afya bora tuombe connection Au muongozo wa kufanya kazi ya halali upate angalau kidogo kitu
 
Sasa fanya hivi usiogope nenda car wash ulyoyote ile kaombe kazi ,utakayolipwa per day(waeleze hali yako ) viwandani sikushauri hata kidogo
Ukifika car wash waambie kwanza tu upatr hela ya nauli na kula tu kisha ukisha pata mahitaji hayo utaweza kujipanga kiume mbeleni

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawo jamaa nishaenda Carwash 6, wabinafsi sana.

Portfolio | 2020
 
Kuna mwana harakati mmoja alishawai Sena kwamba "Mbegu ili iote lazima ifukiwe harafu ioze".Komaa kijana ww msela unalialia mwenzio wana watoto nakuta mtu unaamka mfukoni una jero tena lile ulilolisahau kwny mwendokasi ,asubuhi mtoto analilia vitumbua wife ajala.Kumbuka ulivyomsumbua baba yako au mama yako ulikuwa ukililia nguo za sikukuu haujuwi kama baba hanakosa akikwambia hana hela unalia na kugalagala.
 
Sasa fanya hivi usiogope nenda car wash ulyoyote ile kaombe kazi ,utakayolipwa per day(waeleze hali yako ) viwandani sikushauri hata kidogo
Ukifika car wash waambie kwanza tu upatr hela ya nauli na kula tu kisha ukisha pata mahitaji hayo utaweza kujipanga kiume mbeleni

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii comment ni ya huyu unayemshauri, kwenye moja ya uzi wangu kanisema sana kua kanizidi pesa na mawazo. It's Okay, ila nashangaa yy ndio anakuja kuomba pesa mitandaoni wakati mie siwezi thubutu kufanya kitu hiki

Tambua thamani yako: Usikubali shida ulizonazo zikakufanya unyanyaswe maishani

Mosi, Mimi sichezi Movie za Marvel Comics ni maisha halisi.

Wewe Da'Vinci ni mtoto mdogo sana unaemiliki laptop za kuangalia Movie za Marvel.

Marvel Comics na Quotation za ma-superheros wao wasikufanye kuwa fooled kihasi cha kuja kuleta uchambuzi wakitoto kwenye maisha ya mtu ambae kwasiku 95% ya mawazo yanayomzunguka kichwani kwake kesho yake atakuwaje kufedha, atatengenezaje njia yakwenda kwenye fedha.

Period, mimi sio mtu tu ninayetumia JF kipumbavu kwakujifanya mchambuzi wa vitu...hata hii vocha yangu niliyoingilia hapa JF inamchango wake kwenye kupata pesa ya kununulia, nimeishi mwaka mzima bila kuwa na pesa na JF kuwa chanzo cha mimi kula kwa mwaka wote AIM yakwanza ya JF ni kunifanikishia kuelekea ndoto yangu ya Uhuru wa kifedha I can do each and everything mpaka ifanikiwe wewe sliver Spoon endelea kuona Marvel ni maisha yalokamilika.

Hunipati kiuchumi, hunipati kimawazo, hunipati kimikakati zaidi hufahamu mikakati yangu...sina shida na pesa na wala sijawai kosa pesa hata nikilala still naingiza pesa Goal yangu always ni kuongeza chanzo cha pesa.

Ninachokifanya ni moja ya mikakati yangu ya 2020 kuja kufunga mwaka na Goal moja sijakurupuka na wala hujui nini nimepanga nivyema ukaacha uchambuzi.

NB: Hii ni platform tu background ya maisha tunatofautiana, malengo tinatofautiana usijaribu kuvaa viatu vya wenzio hutoweza kuvaa hata sekunde.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom