Naelekea kufa kwa njaa siku si nyingi

Naelekea kufa kwa njaa siku si nyingi

October man

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2017
Posts
3,631
Reaction score
5,023
“Kwa ninachokiona sasa naenda kufa kwa njaa siku kadhaa mbele”

Hivi nitawezaje kuishi kwa hii 5000/= week nzima.

Mambo mengine yajakaa sawa Pakujishikiza palipokuwa pananipa vipesa vya kula na nauli za kusaka kazi mjini kumeungua kabisa.

Mnisaidie 50,000/= nikimbilie Viwandani kesho kuhonga supervisor ikiisha hii 5000/= ndio mwisho wa ujanja wangu maana sizalishi tena.

IMG_20200316_002122_916.jpeg
IMG_20200315_232912.jpeg


Portfolio | 2020
 
Huwezi kufa mzee....
Hapo Utacheza zile Pasi za Bayern Munich....

Home ni wapi?, Panarudika/Endeka?
Mashambulizi yakizidi rudisha mpira kwa kipa, KAMA UMEKOSA NJIA NYINGNE KBSA, Sio dhambi, unajipanga upya...

Ila hilo wazo la Kupewa hela ukatoe rushwa/hongo Sikushauri sana......
Kwanza huna uhakika km litafanya kazi...
Pili Ni ngumu mtu kukusaidia kwa kumshirikisha wazo hilo....
 
“Kwa ninachokiona sasa naenda kufa kwa njaa siku kadhaa mbele”

Hivi nitawezaje kuishi kwa hii 5000/= week nzima.

Mambo mengine yajakaa sawa Pakujishikiza palipokuwa pananipa vipesa vya kula na nauri za kusaka kazi mjini kumeungua kabisa.

Mnisaidie 50,000/= nikimbilie Viwandani kesho kuhonga supervisor ikiisha hii 5000/= ndio mwisho wa ujanja wangu maana sizalishi tena.

View attachment 1389530View attachment 1389532

Portfolio | 2020
You may not always have a comfortable life and you will not always be able to solve all of the world's problems at once but don't ever underestimate the importance you can have because history has shown us that courage can be contagious and hope can take on a life of its own.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uza smartphone 80,000. Nunua tecno T402 kwa 30,000 ina uwezo wa kuingia JF kama kawaida, ukiwa na MB 10 unatumia siku 3 mpaka 5 kuperyuzi.
Hiyo 50,000 inayobaki ni mtaji tosha unaoweza kukupa faida ya 20% au 15%0kila siku.
Hii smart ukinunua hata kwa 50,000/= nitakuona malaika.

Portfolio | 2020
 
You may not always have a comfortable life and you will not always be able to solve all of the world's problems at once but don't ever underestimate the importance you can have because history has shown us that courage can be contagious and hope can take on a life of its own.

Sent using Jamii Forums mobile app
Duu

Portfolio | 2020
 
Umetoa tahadhari nzuri sana, laiti wangekuelewa
Uzi za vijana kulalamika njaa na stress zimeongezeka, Ccm haawana habari kabisa,

Akitokea mtu mmoja kama Joseph Kon au Bosco Ntaganda na kuwakusanya hawa vijana kisha kuwapelleka msituni na kuwapa bunduki na misosi naona ndo CCM itashtuka usingizini

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana ila usikate tamaa ili hali unakianzio
Umekata tamaa tu ya car wash ila ndo sehem pekee ungetokea
Rudi tena posta
Nenda sehemu zile zile ulizokuwa umelenga
Usikate tamaa na jibu moja , wakiona tena tena watajua kweli ww muhitaji

Haina Kufeli , wala usiogope
“Kwa ninachokiona sasa naenda kufa kwa njaa siku kadhaa mbele”

Hivi nitawezaje kuishi kwa hii 5000/= week nzima.

Mambo mengine yajakaa sawa Pakujishikiza palipokuwa pananipa vipesa vya kula na nauri za kusaka kazi mjini kumeungua kabisa.

Mnisaidie 50,000/= nikimbilie Viwandani kesho kuhonga supervisor ikiisha hii 5000/= ndio mwisho wa ujanja wangu maana sizalishi tena.

View attachment 1389530View attachment 1389532

Portfolio | 2020

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maji ni uhai kijana kunywa maji.

Ila usikate tamaa endelea kupambana siku hazifanani.
 
Pole sana ila usikate tamaa ili hali unakianzio
Umekata tamaa tu ya car wash ila ndo sehem pekee ungetokea
Rudi tena posta
Nenda sehemu zile zile ulizokuwa umelenga
Usikate tamaa na jibu moja , wakiona tena tena watajua kweli ww muhitaji

Haina Kufeli , wala usiogope

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri mzuri ila
Nilikuwa na ujanja wa kizunguka mji kwasabu ya hiyo kitu apo hata nikizunguka vipi nyengine inakuja ila sasaivi sina Assert yakuleta pesa endelevu bali 5000/= as cash nikipanda gari ×1,2 ishaisha kwakupata nyengine ndoto.

HII CONCEPT WENGI WAMEICHUKULIA POA.

Portfolio | 2020
 
Back
Top Bottom