Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,719
- 13,423
Siyo maji, walimtoa damu njia ya haja kubwa.Pole yake,naona walimtoa maji
Ndicho walichodai kufanyiwa yeye na mwenzie.
Siyo maji, walimtoa damu njia ya haja kubwa.Pole yake,naona walimtoa maji
Jambo zuri, next time waende RwandaSiyo maji, walimtoa damu njia ya haja kubwa.
Ndicho walichodai kufanyiwa yeye na mwenzie.
NRNE1. Uongozi wa nchi wa waislam huwa na utulivu na upole, kabla ya Samia, tuliaminishwa kua akikaa kiongozi muislam nchi inakua tulivu na upole. Kumbe ni uongo bwana.
2. Tanzania ni kisiwa cha amani. Kwakweli the island of peace has Submaged, and dwellers are fighting for thier lives. Sasa Tanzania inajulikana kwa torture and brutality.
Thank you "mama". Na mimi ninafamilia wadau msinitafute.