sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,743
- 6,236
1. Uongozi wa nchi wa waislam huwa na utulivu na upole, kabla ya Samia, tuliaminishwa kua akikaa kiongozi muislam nchi inakua tulivu na upole. Kumbe ni uongo bwana.
2. Tanzania ni kisiwa cha amani. Kwakweli the island of peace has Submaged, and dwellers are fighting for thier lives. Sasa Tanzania inajulikana kwa torture and brutality.
Thank you "mama". Na mimi ninafamilia wadau msinitafute.