Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,331
- 14,262
Karibu sana mkuu.Mada nzuri! Nami nime subscribe!
Karibu sana mkuu.Mada nzuri! Nami nime subscribe!
Huyo ndugu yako alikuwa Afisa wa jeshi? Kuhusu madhara nauliza ikitokea ikakosewa kupiga.Kuna ndugu yangu alikua mwanajeshi, alivyofariki walipiga pia, sikumbuki idadi.
Haiwezi kudhuru mtu kwakua inapigwa juu,
Asante sana mkuu, umenifungua sasa.Kimsingi kupiga mizinga 21 ina historia toka zamani wakati meli za kijeshi zilipokua zinatembelea nchi za kigeni(zilikua na mizinga 21 ndani ya meli) hivyo mabaharia walilazimika kufyatua mizinga yote katika pwani ya nchi wanayotembelea ili kutoa alama kwamba wanakuja kwa amani. Wakishafyatua wote wanajipanga juu ya meli ili waonekane kwamba hawawezi ku-reload ndo wanaruhusiwa kuingia katika nchi.
Kwahiyo muda ulivyokwenda baadae ikaja kuzoeleka na mapokeo ikawa hata mkuu wa nchi anapotembelea anapigiwa mizinga 21
Askari yeyote anapokufa kwenye mazishi anapigiwa risasi 21?
Mwanajeshi kuanzia cheo cha Brigedia Jenerali anapigiwa mizinga 6 nadhani
Viongozi wakuu wa nchi mizinga 21
Watakuja wajuzi wengine kurekebisha nilipokosea
Iliwahi kujadiliwa hapaHabari za usiku wakuu,
Tukiwa tunaendelea kuomboleza msiba mzito wa kiongozi wetu mpendwa,Hayati Benjamin William Mkapa aliyeaga dunia usiku wa kuamkia leo.
Naomba kuuliza kuhusu mizinga ambayo viongozi wetu wakubwa huwa wanapigiwa pindi wanapofariki au tukio jingine.
Niliwahi kusikia huwa inapigwa mizinga 21(ishirini na moja),Sasa najiuliza kwanini iwe 21 na isiwa kumi,au 30 au basi idadi yeyote ile?
Kwanini mizinga 21?.Pili ina maanisha kitu gani??.Tatu je haiwezi kuleta madhara kwa binadamu km vile kujeruhi au kuua pindi ikikosewa kupiga?.
Nne ukiacha Maraisi,ni viongozi gani wengine wanaostahili kupigiwa mizinga?.Au basi ni matukio gani yanayoweza kupelekea mizinga kupigwa?
Naomba kuwasilisha. Wajuzi wa mambo hayo ya Kijeshi njooni mnielimishe.Alamsiki.
Sawa! Asante mkuu nimeona.
Mkuu Hata ikikosewa kupiga ??.Ile Mizinga Wanaiita Miziga Baridi Yaani Ina Kishindo Lakini Haina Madhara Yoyote
Mkuu Hata ikikosewa kupiga ??.
Huyo ndugu yako alikuwa Afisa wa jeshi?,Kuhusu madhara nauliza ikitokea ikakosewa kupiga.
Hakuna madhara kwa kuwa ni baruti tu inayoripuliwa pale inakuwa haijaunganishwa war head.Huyo ndugu yako alikuwa Afisa wa jeshi?,Kuhusu madhara nauliza ikitokea ikakosewa kupiga.
OK!!!AsanteHata ikikosewa haina madhara maana inakuwa imetolewa baadhi ya vitu. Pale ni sauti tu ndio kali.
Yaaap!!!;.nimekupata mkuu.Hakuna madhara kwa kuwa ni baruti tu inayoripuliwa pale inakuwa haijaunganishwa war head.
Idadi ya mizinga inategemeana na cheo cha kiongozi anayepewa hiyo gun salute.
Pia wanajeshi kuanzia cheo cha brig gen kuendelea nao hupigiwa mizinga kwa idadi tofauti kwenye mazishi yao kutokana na vyeo vyao.
Ila vyeo vya chini ya hapo mazishi ni kupiga bunduki juu idadi mara3.
Heshima na ni taratibu za kijeshi kumbuka hapo anazikwa mkuu wa majeshi yote mstaafuKama heading inavojieleza naomba kueleweshwa maana ya mizinga kupigwa misibani hasahasa misiba ya kijeshi..
Asanteni