Manyallaboy
Senior Member
- Jul 26, 2015
- 194
- 78
UKIPATA JIBU UNIBIPU
Ili uitwe mzinga lazima uweze kupiga mara 21Wajuzi naomba mtujuze kwanini mizinga huwa inapigwa 21
Sio lazima kitu kama hujui bora ukachunaIli uitwe mzinga lazima uweze kupiga mara 21
Hakuna sababuWajuzi naomba mtujuze kwanini mizinga huwa inapigwa 21
Jibu lako ni Rahisi sana mkuu.Hakuna sababu
Kwahiyo unataka majibu magumu?Jibu lako ni Rahisi sana mkuu.
ndio tunataka sababu ya huyohuyo aliyeanzisha kwanini ni 21Tumerithi tu taratibu za mkoloni... nafkiri Muingereza ndio atakua na majibu.
Marekani ilikuwa ikitawaliwa na nani vile?&HII INATOKANA NA WAKATI MAREKANI INAPATA UHURU WAKE MWAKA 1776 WAKATI WANA ADHIMISHA SIKU YAO WAKAONA WAKI PIGA MIZINGA 1776 ITAKUWA MINGI SANA,WAKA AMUA KUJUMLISHA 1+7+7+6=21..TOKEA KIPINDI HICHO NDO IKAWA ADAPTED NA NCHI MBALI MBALI PAMOJA NA SISI..
Hii imekaa vizuri zaidiHII INATOKANA NA WAKATI MAREKANI INAPATA UHURU WAKE MWAKA 1776 WAKATI WANA ADHIMISHA SIKU YAO WAKAONA WAKI PIGA MIZINGA 1776 ITAKUWA MINGI SANA,WAKA AMUA KUJUMLISHA 1+7+7+6=21..TOKEA KIPINDI HICHO NDO IKAWA ADAPTED NA NCHI MBALI MBALI PAMOJA NA SISI..
..Kweli wabane matimiziNa hao waingereza na wakanada kwann wapige 21 na sio mzinga 1?
Wajuzi naomba mtujuze kwanini mizinga huwa inapigwa 21
Hili ndilo tatizo la UTII BILA SHURUTI (bila kuhoji).
Tunapelekwa pelekwa tu.