Nadharia kuhusu chanzo na maana ya heshima ya kijeshi ya Mizinga 21

Tumwambie mzee wa majipu apunguze idadi ya Mizinga kama ishara ya kubana matumizi, maana naona hakuna lojiki ya maana sana kwa mizinga 21!
 
Kama umesha wahi kulisikia neno "CONVENTIONAL ACCEPTED" naamini litakuwa lime tumika hapa, maana yake tuna kaa tunakubaliana kitu hiki kiwe hivi na kitakuwa kina maanisha hivi.
 
HII INATOKANA NA WAKATI MAREKANI INAPATA UHURU WAKE MWAKA 1776 WAKATI WANA ADHIMISHA SIKU YAO WAKAONA WAKI PIGA MIZINGA 1776 ITAKUWA MINGI SANA,WAKA AMUA KUJUMLISHA 1+7+7+6=21..TOKEA KIPINDI HICHO NDO IKAWA ADAPTED NA NCHI MBALI MBALI PAMOJA NA SISI..
Marekani ilikuwa ikitawaliwa na nani vile?&
 
HII INATOKANA NA WAKATI MAREKANI INAPATA UHURU WAKE MWAKA 1776 WAKATI WANA ADHIMISHA SIKU YAO WAKAONA WAKI PIGA MIZINGA 1776 ITAKUWA MINGI SANA,WAKA AMUA KUJUMLISHA 1+7+7+6=21..TOKEA KIPINDI HICHO NDO IKAWA ADAPTED NA NCHI MBALI MBALI PAMOJA NA SISI..
Hii imekaa vizuri zaidi
 
Salaam JF

Mara nyingi nimekuwa nikishuhudia ama kusikia kupigwa kwa mizinga 21 kwa Mkuu wa nchi katika sherehe za kitaifa ama wakati Mkuu wa nchi nyingine anapozuru nchi mwenyeji, vilevile kwanini majenerali kuanzia Brigedia jenerali wanapigiwa mizinga 11, Meja jenerali wanapigiwa mizinga 13, Luteni jenerali wanapigiwa mizinga 15 na Jenerali anapigiwa mizinga 17 wakati wa kuagwa baada ya kustaafu ama wakati wa kuzikwa kwao wanapofariki dunia.

Nini maana na asili ya mizinga ya kijeshi kwa wakubwa hao? Wajuvi wa mambo hebu wekeni mubashara.
 
Kwakweli mwenye kufahamu atujuze, amani, hata mimi huwa najiuliza maswali kama hayo
 
Wanajamvi,

Mara nyingi nimeona maraisi wanapofika Nchi fulani ama nchini mwao kwenye matukio maalumu hupigiwa mizinga 21 ya kijeshi.

Je, ni Kwanini iwe 21? Kuna jambo gani katika hiyo namba?

Kadhalika na mawaziri wakuu ni mizinga 19.

Tafadhali mwenye kuyajua haya na atujuze.
 
Back
Top Bottom