Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,287
- 10,697
Inaonekana Hesabu zinakupiga chengaNi sawasawa na kusema kwanini Pai=22/7 au 3.14
Inaonekana Hesabu zinakupiga chengaNi sawasawa na kusema kwanini Pai=22/7 au 3.14
Hesabu za kukariri kipeo cha pili sijui E=mc^2,sijui kinetic energy,potential energy eti hesabu za differentiation,integration,matrix,projections motions hizo hapana slzihitaji tena endelea tu wewe kuzikariri.Karibu kwenye banking&Investment industry huku ni pesa tu na CPA yako.Inaonekana Hesabu zinakupiga chenga
T at least jibu lako linamake sense. Asanteh kwa kutujuzaTaratibu hii ilianzia mwaka 1776 kule marekani.Marekani ilipata Uhuru wake 1776 sasa wanajeshi siku ya Uhuru wakataka kusherehekea siku hiyo kwa kupiga mizinga.Swami likaja wapige mizinga mingapi kuonyesha furaha yao? Mmoja akashauri kuwa wajumlishe namba zote zilizoko kwenye maana 1776 jibu watakalopata ndio liwe idadi ya mizinga watakayopiga.Ukijumlisha namba zote za 1776 jibu utapata 21.yaaani 1+7+7+6 jibu ni 21.wakapiga mizinga 21.toka hapo Ukawa desturi ya majeshi duniani wakifurahia jambo iwe kupokea kiongozi au sherehe kupiga mizinga 21
Mimi wa kunitishia Consolidated Financial Statements kote Niko vizuri hayo sijui Liquidation, administration of estate of deceased person, Sijui Reconstruction and Reorganization,Nikikupa hesabu za consolidated financial statements unadhani unaweza kufanya chochote.Au unadhan kukariri pai D square over 4 ni sifa hahah.Karibu kwenye ulimwengu wa fedha.
Kama anayepigiwa ni kiongozi wa nchi husika basi ni kuonesha utii wa Jeshi kwa kiongozi huyo, kama anayepigiwa ni kiongozi toka nchi nyingine ni kuonesha kwamba wenyeji wake hawana nia ya kumdhuru!!
Hii idadi inatokana na watu wanaoamini kwenye imani za nguvu za namba. Kwao namba zinazogawanyika kwa mbili zinamaanisha kifo wakati zile zinazogawanyika kwa tatu zinamaansha amani. Kwa maana nyingine ingawa mizinga inapigwa 21 lakini inapopunguzwa kutokana na cheo cha mtu, bado idadi yake itagawanyika kwa tatu.
Nenda ka-google acha uvivu!
Hata hivyo hili bado sio jibu na swali bado halijajibiwaNi sawasawa na kusema kwanini Pai=22/7 au 3.14
And you are verified User! What a joke does JF provide to us.Sio freemanson kweli
Hahah Easy talk than doneMimi wa kunitishia Consolidated Financial Statements kote Niko vizuri hayo sijui Liquidation, administration of estate of deceased person, Sijui Reconstruction and Reorganization,
M.A/Performance Management ndo usiseme niliongoza hili mitihani ya Board.
Good People -CPA (T)
Twat!Sababu tupo karne ya 21.
Ni maamuzi tu na pia tumerith *kutokabkwa wainhereza* na wakanada
Aishee Mgoshi achaHiki ni kisambaa ama???
Jitahidi kujifunza ku-qoute andishi hapa jf.Maana robotatu ya ulichoweka hapo juu ni mimi nimeandika wewe umeandika aya ya mwisho tu.21 salute mwanzo wake ilikuwa ni kuonesha kutokuwepo kwa uadui. Ilianzia nchi za Ulaya ambapo marine warship zilipokuwa zinaingia kwenye territory ya nchi nyingine kwa amani zililipua silaha zake (cannons) ambazo kwa kawaida ndani ya meli hizo za kivita zilikuwa 21. Kulipua mara 21 ilimaanisha silaha zote 21 zimelipuliwa, hivyo hakuna silaha inayoweza kutumika katika himaya hiyo isiyo yao. Baadaye ikatumika kama salamu ya heshima kwa makamanda wakuu wanapotembelea vikosi au wakati wa misiba ambapo 21 salute ilionekana ndiyo heshima ya juu kabisa, wa chini walipigiwa milipuko pungufu.
Hatimaye utamaduni huo ulieneo mpaka majeshi ya nchi kavu, na salamu hiyo kwenda mpaka kwa watawala kama wafalme, magavana au mawaziri wakuu.
Siyo kweli kuwa hakuna salute za kijeshi pungufu ya hiyo 21 bali 21 artillery salute ndiyo ya juu kabisa. Mataifa mbalimbali wana idadi tofauti kwa watu tofauti na kwa mazingira tofauti. Na pia ipo ile ya bunduki ya kawaida na ile ya mizinga.
Ume Google inasemaje maana kila MTU anaropoka lake